the cilour of my choice. Sinunui gari ambayo sio pearl white.Pearl white rangi nzuri sana yani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
the cilour of my choice. Sinunui gari ambayo sio pearl white.Pearl white rangi nzuri sana yani
Yeah sema ukipata ile yenyewe, mafund wengi wanapigaga flat bila kuchanganyia zile metallic elementsIpo vizuri sana, huwa kama inabadilika badilika
Yeah sema ukipata ile yenyewe, mafund wengi wanapigaga flat bila kuchanganyia zile metallic elements
Mie yangu wanamixigi na njano kwa mbali😂😂😂 inakuwa kama pearl ila sio ni feki! Bumper ndio lina rangi ya kijiti cha mpera sababu mara nyingi linaumiagaUnajua wanafanyaje? Pearl white ni gharama mafundi wengi wanatumia white afu ule uji wake wanapulizia tena[emoji23][emoji23].
Nakumbuka wakt tunaenda na jamaa pale kamata, kwanza jamaa aliomba aone details/specifications za gari ili ajue namba ya rangi then ndo akaanza kazi.
Bongo fundi anakuwekea hata feki wengi hatujui magari tunajua kuendesha
Kwasababu wengi wanaorudia rangi wanapaka rangi ya kiwango cha chini ili mradi ling'ae auze. Kurudia au kupaka rangi nyingine sio mbaya kama utaweza rangi zenye kiwango. Gari ndogo tu rangi za kiwango inaweza kufika 2.5m au zaidi sasa imagine mtu anakuuzia gari ndogo 6m halafu kairudia rangi unafikiri atakuwa kapaka rangi yenye kiwango? Hapo miezi michache tu rangi inaanza kubabuka.Wakuu habari za muda huu,
Kuna suala naomba nipate ufahamu zaidi.
Imekuwa ni kawaida kwa watu kuuliza kama gari limerudiwa rangi au kubadilishwa rangi pale anapotaka kulinunua mkononi kwa mtu.
Na mara zote imeonekana kama kupaka rangi gari ni kama inaishusha thamani. Inapelekea wengine kuficha hili.
Sasa swali langu, kwani haya magari huko kiwandani si mwanzo ni material yanayopakwa rangi tu?
Au ukishapaka rangi gari, itapauka au kuchubuka ukilinganisha na rangi inayotoka nayo kiwandani?
Kiufupi kwanini inachukuliwa kama kitu cha kushusha thamani gari ? Kwani hamna mafundi wenye weledi wa rangi kiasi hicho Tanzania.
Inategemea na quality ya rangi utakayopiga.Anhaa lakini sio kwamba rangi kubadilishwa au kurudiwa ni kitu kibaya kwa gari kama halijapata shida yoyote? Mfano mi nna crown ya silver nataka iwe nyeusi, nikibadili rangi sijaishusha thamani
Hao ni wataalam sasa. Hakuna mtu anaeuza gari 6m halafu awe kapaka rangi kwa hao jamaa.Ndo nauliza kwa Tz hamna wanakopaka kwa electroplating? Mfano kwa Shakikeli , Azam Upholstery, Safari automotives , Amran na wengineo ?
Mie yangu wanamixigi na njano kwa mbali[emoji23][emoji23][emoji23] inakuwa kama pearl ila sio ni feki! Bumper ndio lina rangi ya kijiti cha mpera sababu mara nyingi linaumiaga
Ngoma inakuwa kama yaiAkosee azidishe njano hapo sasa[emoji23][emoji23]
Pearl white ni kama rangi ya mtindi ukiwa kwenye glass ya kiooMkuu una picha ya Pearl white ?
Matt finishAfu kuna zile nyeusi mara nyingi nimeziona kwa bmw, ila sio toyota.. zinakua nyeusi fulani hivi ila ni kama imepauka sio za kung’aa ile ya mafuta.. Unazipata hizo ?
Ni noma yani rimsports black na tinted gari utaipenda yaniUkipata na rims zako sports apo inakuwa [emoji91]
Hapo kwenye rim sports 😂Ni noma yani rimsports black na tinted gari utaipenda yani
Unaweza gari yoyote. Miaka miwili mitatu nyuma watu wamezipiga sana hizo ila kama usemavyo wengi wenye BMWsWe fala unajua kinoma[emoji23][emoji23][emoji23] ndo hiyo hiyo mzee… sijawahi ona toyota zetu hizi na hiyo rangi ? Je unaweza ukapiga ukiamua