Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

Je, kurudia au kubadili rangi gari ni vibaya?

Nyeusi isio na mafuta ile [emoji23][emoji23][emoji23] halafu fashion bana ile rangi ilikuwa common kabla ya rangi za mafuta kuingia sokoni enzi hizo ila kwa sasa ni kama fashion yani[emoji23][emoji23][emoji23] kweli hamna kipya chini ya jua

Yaani ile rangi ya kinyama kinomaa… za mafuta zishakua nyingi[emoji23][emoji23][emoji23] labda upake mtindi wa kwenye glass ule[emoji39]
 
Yaani ile rangi ya kinyama kinomaa… za mafuta zishakua nyingi[emoji23][emoji23][emoji23] labda upake mtindi wa kwenye glass ule[emoji39]
Hahahahhahah raha ya ile rangi body ya gari iwe imenyooka, yani chuma imekula kiatu 18” ama 20” Gloss black Vossen wheels, spokes za maana! 😋😋😋😋😋

Hapo utaipenda gari yani Tint ya maana mzee kioo kinawaka na rim zinawaka!
 
Hahahahhahah raha ya ile rangi body ya gari iwe imenyooka, yani chuma imekula kiatu 18” ama 20” Gloss black Vossen wheels, spokes za maana! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Hapo utaipenda gari yani Tint ya maana mzee kioo kinawaka na rim zinawaka!

Nashukuru kwa kunigugolisha mibrand yako ya viatu mwanangu [emoji23][emoji23] mguu umenyooka
 
Nashukuru kwa kunigugolisha mibrand yako ya viatu mwanangu [emoji23][emoji23] mguu umenyooka
Ingine ilio mstari ni forgiato wheels
641C41DE-DCFB-4979-BCE9-7A9BC6B62C7D.jpeg
 
Kupima sleeve za block, kuchonga block, nadhani na kazi za kupima fuel pump, nozzle.

Wazee wa diesel engine, lazima waelewe.
Bihonyi anapiga rangi pia tena kwa mitaa ile kipindi cha mvua pale kwake ndio uwa nyomi maana mafundi wa m'chai,mburahati n.k uwa wanaenda kupigia pale maana ndani pale kuna kivuli mvua aifiki,au lah iwapo fundi kapiga rangi then kiwingu anakimbilia kwa bihonyi njia panda pale kuificha gari
 
Back
Top Bottom