RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Gharama sina uhakika. Tembelea hao jamaa uwaulize. Kuna jamaa anaitwa Auto Max nae yuko vizuri mcheki Instagram.Gharama zake na zenyewe zipoje mtaalam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama sina uhakika. Tembelea hao jamaa uwaulize. Kuna jamaa anaitwa Auto Max nae yuko vizuri mcheki Instagram.Gharama zake na zenyewe zipoje mtaalam?
Nyeusi isio na mafuta ile 😂😂😂 halafu fashion bana ile rangi ilikuwa common kabla ya rangi za mafuta kuingia sokoni enzi hizo ila kwa sasa ni kama fashion yani😂😂😂 kweli hamna kipya chini ya juaMatt finish
Nyeusi isio na mafuta ile [emoji23][emoji23][emoji23] halafu fashion bana ile rangi ilikuwa common kabla ya rangi za mafuta kuingia sokoni enzi hizo ila kwa sasa ni kama fashion yani[emoji23][emoji23][emoji23] kweli hamna kipya chini ya jua
Hahahahhahah raha ya ile rangi body ya gari iwe imenyooka, yani chuma imekula kiatu 18” ama 20” Gloss black Vossen wheels, spokes za maana! 😋😋😋😋😋Yaani ile rangi ya kinyama kinomaa… za mafuta zishakua nyingi[emoji23][emoji23][emoji23] labda upake mtindi wa kwenye glass ule[emoji39]
Bihonyi yeye ni mwamba wa kuchonga mablock, Magomeni Moja iyooo.Mkono mmoja? Rangi inatakiwa ipakwe kitaalam kwa kutumia electroplating ndio inatoka bomba ila hizo mnazopaka kwa kina BIHONYI lazima zionekana mbaya.
Hahahahhahah raha ya ile rangi body ya gari iwe imenyooka, yani chuma imekula kiatu 18” ama 20” Gloss black Vossen wheels, spokes za maana! [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hapo utaipenda gari yani Tint ya maana mzee kioo kinawaka na rim zinawaka!
Hahahahah eeh achana na utopolo wa mchina offset rim zinakatika kichizi yani 😂😂😂Nashukuru kwa kunigugolisha mibrand yako ya viatu mwanangu [emoji23][emoji23] mguu umenyooka
Ingine ilio mstari ni forgiato wheelsNashukuru kwa kunigugolisha mibrand yako ya viatu mwanangu [emoji23][emoji23] mguu umenyooka
Kupima sleeve za block, kuchonga block, nadhani na kazi za kupima fuel pump, nozzle.Ndo mtaalam wa body ?
Ingine ilio mstari ni forgiato wheels
View attachment 1897106
Akosee azidishe njano hapo sasa[emoji23][emoji23]
Yes Migo kagera Uno.Bihonyi yeye ni mwamba wa kuchonga mablock, Magomeni Moja iyooo.
Achana nazo takataka hizo! Tafta stock rims mara 10Yaani umeniwahi nilikuwa ndo nataka kuagiza apa
Baby walker haivai hizo size mzee ikienda mbali ni 17” rims! Ila nyingi stock ni 14” ama 15” hapo ni 1.5MSasa Extro hii miguu, minne size 18 au 17, si itanitoka milioni 3 hapo kwa kibabywalker changu
Mitaa yangu hiyo baharia,msikiti wa Ibadhi kwa mbele 😃Bihonyi yeye ni mwamba wa kuchonga mablock, Magomeni Moja iyooo.
Bihonyi anapiga rangi pia tena kwa mitaa ile kipindi cha mvua pale kwake ndio uwa nyomi maana mafundi wa m'chai,mburahati n.k uwa wanaenda kupigia pale maana ndani pale kuna kivuli mvua aifiki,au lah iwapo fundi kapiga rangi then kiwingu anakimbilia kwa bihonyi njia panda pale kuificha gariKupima sleeve za block, kuchonga block, nadhani na kazi za kupima fuel pump, nozzle.
Wazee wa diesel engine, lazima waelewe.