Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

LostkiD

Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
47
Reaction score
101
Kwa nyakati tofauti nimeona wanafunzi wanaosoma Muhas na alumni waliomaliza chuo Cha muhas CV zao zimesheheni activities nyingi out of elimu ya darasani Kuna walionzisha NGOs,Wana hudhuria Health summit,wanahudhuria masterclass na hii inakua ni tofauti kwenye vyuo vingine vya afya

Je changamoto ni ipi kwa vyuo vingine vya afya kua na izo movements je ni wanafunzi wa ivyo vyuo kuconcentrate only kwnye maswala ya darasani au ni ishu ya utaratibu wa vyuo husika au changamoto ni ipi na nini kifanyike
 
Washenz sana hao niliishia kupata ka gpa 3.4 nkaja kosa fursa za maana sana
walimu wa MUHAS wa zamani jau sana,walikuwa wanafurahia wanashangilia darasa lake likifeli...
yani mwalimu anaingia class anasema mko wengi sana..lazima mpingue .

mwingine anasema...huwezi kupata zaidi ya C...hakuna namna utapata A,B+ hizo sahau..

yet anawaambia YOU ARE THE BEST ,A CREAM OF THE NATION...yet ??
 
Hakuna advantage mkuu, hao unaoona wameanzisha hivyo vitu kwanza ni asilimia ndogo ya wanafunzi na ni passion yao binafsi wanapenda sio kwamba ni chuo kinawawezesha, kwahiyo hata wangekuwa vyuo vingine wangefanya hivyo hivyo.

Muhas ile shule ni ngumu, mitihani ikianza ni kila wiki yaani unamaliza shule uko traumatized vibaya. Wanaorudiga pale kwa ajili ya Masters huwa wananishangaza aisee, yaani yale mateso kwa degree hayatoshi unaenda kuyafata na kwenye Masters duh.
 
Bora ngesoma
walimu wa MUHAS wa zamani jau sana,walikuwa wanafurahia wanashangilia darasa lake likifeli...
yani mwalimu anaingia class anasema mko wengi sana..lazima mpingue .

mwingine anasema...huwezi kupata zaidi ya C...hakuna namna utapata A,B+ hizo sahau..

yet anawaambia YOU ARE THE BEST ,A CREAM OF THE NATION...yet ??
Walitukosea sana wale kina mhalu na kina mwakyoma yan mtu ata akiongea humskii dah
 
Hakuna

Inategemea zaidi na akili yako ilivyo nzuri na sharp. Mimi huwa naamini KCMC inatoa madaktari bora pia na kuna opportunities nyingi pia za nje
Hakuna daktari bora zaidi ya mwingine daktari yeyote aliyehitimu na kufaulu ni daktari bora awe amesoma KCMC ama MUHAS ama bugando ama ,madakatri wanapaswa KUHESHIMIANA na KUSHIRIKIANA ,wote ni madaktari ,waliothibitishwa na kutambuliwa na BODI ya madkatari na kupews leseni...haya mambo ya EGO hayana tija.
 
Hakuna kitu kama hicho, japokuwa Kwa Tanzania MUHAS unaweza Kusema Kipo level nyingine, ni chuo Bora Sana kuliko vyote TZ yaani vyuo kama UDSM,UDOM nk vinabaki ni vyuo vya kata...Yaani vyuo vya wenzetu mathalani vile vya Ivy league, Oxbridge, The C9 vya china nk, ni prestigious kwasababu vimetoa vitu vya maana ambavyo vimebadilisha uelekeo wa dunia Kwa ujumla, vimetoa watu waliobadilisha maisha ya dunia...Kinachoangaliwa na Ufanisi.
 
YEYE aliyesoma MUHAS anayewaona waliosoma vyuo tofauti na chake wamesoma vyuo vya KATA.

ameleta tija gani kwa taifa na katika fani.

ama wanapotibu wagonjwa .
hawa wa muhas wanajivunia NINI HASA CHA ZIADA?? wana mchango gani zaidi ya wenzao wa vyuo vingine?

kuna uthibitisho gani wa hicho wanachokiamini??

RAI yangu hawa madaktari washirikiane wawe na umoja katika kuhudumia taifa kwa kuheshimiana na kuheshimu taaluma.

Kwa hiyo mgonjwa akija hospitali aseme nataka kutibiwa na dikita wa MUHAS?..sidhani kama KIBURI NA EGO ina TIJA kwa mtu binafsi na kwa taaluma.
 
Back
Top Bottom