Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,896
Mbali na mada yako
Life partner itabidi nimchukulie hukk muhas
(ke) wako smart snaa
Hautajuta
Mbali na mada yako
Life partner itabidi nimchukulie hukk muhas
(ke) wako smart snaa
Kuna utafiti wowote uliofanyika na kuonesha kwamba hao wenye hizo GPA za chini wakiwa field wana underperform?Hakuna zaidi ya kuwa na GPA ndogo hasa waliohitimu zamani ,adavantage waliyonayo ni GPA ya 2.5-3 .
na ujinga wa kuambiwa you are the best,cream of the nation(kuvimbishwa mabichwa).
zamani ilikuwa wakianza wanafunzi 200 nusu hawamalizi na hao watakaohitimu GPA zao zita range 2-3.5 hazizidi 3.5 ,na hizi sio kwamba wamefeli yet mwalimu anawambia you are the best cream of the nation...wanakwambia C ya MUHAS ni sawa na A ya vyuo vingine..Kuna utafiti wowote uliofanyika na kuonesha kwamba hao wenye hizo GPA za chini wakiwa field wana underperform?
Nina jamaa yangu yupo MOIzamani ilikuwa wakianza wanafunzi 200 nusu hawamalizi na hao watakaohitimu GPA zao zita range 2-3.5 hazizidi 3.5 ,na hizi sio kwamba wamefeli yet mwalimu anawambia you are the best cream of the nation...wanakwambia C ya MUHAS ni sawa na A ya vyuo vingine..
wakiamini student wao ni better compared na vyuo vingine
yet wanawapa alama ndogo
ili hali wa vyuo vingine wanapata alama za juu
SIKU wakihitaji kuajiri walimu
inalazimika kuwaajiri wanafunzi wao waliowafunfisha mana wana waamini kuwa ni the best kuliko vyuo vingine,lakini wao wenyewe ndio waliwapa alama ndogo.
mwisho wa siki inabidi waajiri walimu kutoka vyuo vingine wenye alama A
sasa ukipewa GPA ya 3.2 au 3 au 2.5
ina kupunguzia baadhi ya fursa...unatoka ukiwa umejazwa kuwa (YOU ARE THE BEST CREAM OF THE NATION na GPA yako ya 3.2)..
Na kudaiwa hela nyingi na HeslbHakuna zaidi ya kuwa na GPA ndogo hasa waliohitimu zamani ,adavantage waliyonayo ni GPA ya 2.5-3 .
na ujinga wa kuambiwa you are the best,cream of the nation(kuvimbishwa mabichwa).
kuna jamaa wali mdisco mwaka wa 4 DDS ,mtihani wa oral,huwezi kusema hana akili mtu kasoma special school olevel na advance ..akaenda kusoma chuo kingine akaenda kuanza upya nafikiri alibadilisha na kozi akamaliza.zamani ilikuwa wakianza wanafunzi 200 nusu hawamalizi na hao watakaohitimu GPA zao zita range 2-3.5 hazizidi 3.5 ,na hizi sio kwamba wamefeli yet mwalimu anawambia you are the best cream of the nation...wanakwambia C ya MUHAS ni sawa na A ya vyuo vingine..
wakiamini student wao ni better compared na vyuo vingine
yet wanawapa alama ndogo
ili hali wa vyuo vingine wanapata alama za juu
SIKU wakihitaji kuajiri walimu
inalazimika kuwaajiri wanafunzi wao waliowafunfisha mana wana waamini kuwa ni the best kuliko vyuo vingine,lakini wao wenyewe ndio waliwapa alama ndogo.
mwisho wa siki inabidi waajiri walimu kutoka vyuo vingine wenye alama A
sasa ukipewa GPA ya 3.2 au 3 au 2.5
ina kupunguzia baadhi ya fursa...unatoka ukiwa umejazwa kuwa (YOU ARE THE BEST CREAM OF THE NATION na GPA yako ya 3.2)..
Na kudaiwa hela nyingi na Heslb
kuna jamaa wali mdisco mwaka wa 4 DDS ,mtihani wa oral,huwezi kusema hana akili mtu kasoma special school olevel na advance ..akaenda kusoma chuo kingine akaenda kuanza upya nafikiri alibadilisha na kozi akamaliza.
lakini wamempotezea muda ,wamepoteza huduma yake kwa jamii,lakini wamepoteza gharama za kumsimesha..yani serikali inalipia ada madaktari wasome wamalize wakahudumie wananchi..halafu mwalimu mmoja anawadisco...sasa serikalli na jamii inapata faida gani..yeye binafsi anapata faida gani..angekuwa mtoto wake angemdisco...mtu anategemewa na familiaa ameaga anakuja shule wewe unaenda kumdisco...tena jamaa alikuwa very bright...mwalimu wangu wa twisheni advance..very bright...eti ..kaenda kudisco mwaka wa nne...kama hana akili aliwezaje kufaulu miaka yote unamsubiri mpaka mwaka wa nne amebakiza mmoja amalize unamfukuzA eti hana akili kweli? angesomaje mzumbe na ilboru mbona sekondari kapata div 1 zote single digits...
Washenz sana hao niliishia kupata ka gpa 3.4 nkaja kosa fursa za maana sana
Changamoto hapa ni nini? Ni kwamba elimu yetu uko very complicated au elimu ni nyepesi ila wanaotufundisha wanataka tuone ni ngumu? Kwasabb chuo hupimwa kwa tafiti mafanikio innovation contributions kwenye mabadiliko Chanya so kama hakuna inawezekana Kuna changamoto mahalikuna jamaa wali mdisco mwaka wa 4 DDS ,mtihani wa oral,huwezi kusema hana akili mtu kasoma special school olevel na advance ..akaenda kusoma chuo kingine akaenda kuanza upya nafikiri alibadilisha na kozi akamaliza.
lakini wamempotezea muda ,wamepoteza huduma yake kwa jamii,lakini wamepoteza gharama za kumsimesha..yani serikali inalipia ada madaktari wasome wamalize wakahudumie wananchi..halafu mwalimu mmoja anawadisco...sasa serikalli na jamii inapata faida gani..yeye binafsi anapata faida gani..angekuwa mtoto wake angemdisco...mtu anategemewa na familiaa ameaga anakuja shule wewe unaenda kumdisco...tena jamaa alikuwa very bright...mwalimu wangu wa twisheni advance..very bright...eti ..kaenda kudisco mwaka wa nne...kama hana akili aliwezaje kufaulu miaka yote unamsubiri mpaka mwaka wa nne amebakiza mmoja amalize unamfukuzA eti hana akili kweli? angesomaje mzumbe na ilboru mbona sekondari kapata div 1 zote single digits...
Nahisi walimu wazamani kwa Yale mazingira waliosomea wanataka dunia ionekane ivoivo Hadi Sasa kwasabb wao walisoma kwa shida with alot of energy basi iwe sawa Kwa nyakati hiziwalimu wa MUHAS wa zamani jau sana,walikuwa wanafurahia wanashangilia darasa lake likifeli...
yani mwalimu anaingia class anasema mko wengi sana..lazima mpingue .
mwingine anasema...huwezi kupata zaidi ya C...hakuna namna utapata A,B+ hizo sahau..
yet anawaambia YOU ARE THE BEST ,A CREAM OF THE NATION...yet ??
Hilo lipo wazi lakini kwa nchi yetu bado Kuna Ile muhas syndrome kilamtu anataka asome pale ila km izo fursa tofaut na vyuo vingine unakuta mtu akiwa serious anatoboa hasa kwenye maisha nje ya medicineSidhani, faida ya kusoma pale ni exposure kwakuwa ndio taasisi kubwa ya Afya nchini, utapata access mfano vifaa bora, wagonjwa wengi, complex cases, na watalaamu wengi zaidi. Lakini kwenye soko hakunaga jipya kabisa hata huko hospitali hakuna atakayekuuliza umesoma wapi... Wote ni sawa tu
COET na Cocastic, Cocastic na COET.Km ilivyo kwa UDSM pale COET.
Kama ndo kina nyie basi nitazingatia.Hautajuta
😂😂😂 nasubiri mrejeshoKama ndo kina nyie basi nitazingatia.
Boya sana wew ungejua mateso niliuopitia kupata iyoKumbuka kuna wenzio waliopata zaidi ya hiyo kwa hiyo ulitakiwa kukaza msuli na kukesha pale 24 😆
Boya sana wew ungejua mateso niliuopitia kupata iyo