cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Dogo acha unaa basi, 😂😂😂COET na Cocastic, Cocastic na COET.
Dogo acha unaa basi, 😂😂😂COET na Cocastic, Cocastic na COET.
HAIWEZEKANI USOME MUHAS USHINDWE KUTIBU,HAIWEZEKANI HATA KIDOGOKuna jamaa yangu kasoma hapo hata kutibu malaria hawezi.
Sasa sijui alienda kusoma au kucheza?
📌SIO KWELI
Siku ukipata Prospectus ya UDSM soma wale Prof, Ass Prof, Senior lecturers na Kecturer wa Pale uone namna walivyopiga hivyo vyuo vikubwa sana huko Dunian mana kila Idara ina staff wake na Elimu yao na wapi wamesoma nafikiri kibongobongo pale ndio wana wakufunzi wamesoma vyuo vikubwa sana huko ulimwenguni ila kila leo inazidi kushuka kwenye international Ranking Kikubwa ninachotaka kusema Elimj ya Chuo kikuu ni Universal kama TCU wanakupa usajili na wanakuruhusu kutoa Programmes flan huko kaizni hata waga hatuulizani umesoma wapi sijui usome Bugando sijui usome St ftancis na wewe usome Muhas sijui UDSM wote mnaanza na Same Salary scale na unaweza shangaa kabisa ukakuta HOD wako kasoma IMTU na wakala Ban akamalizia Elimu yake UDOM hukoSijasoma hapo, ila kuna vitu hata sisi wa nje tunaona mfano;
1. MUHAS ilipewa nafasi ya chuo namba 1 Tanzania na namba 3 Afrika mashariki na times higher education rankings ya uingereza.
2. Kuna binti wa hapo alipata admission ya kusoma masters ya mambo ya mazingira Oxford kama sio mwaka jana ni mwaka juzi, na scholarship juu. Kutoboa admission process za Oxford si mchezo, lazima chuo chake cha undergraduate kiliaminika kwa kiasi flani.
Hii inaonesha kabisa kuna vitu vinafanywa pale ambavyo vinaongeza international outlook ya chuo.
#Ukiona mtu analalamika elimu ngumu, siku zote ujue ni visingizio tu.
Hawawezi kuelewa kwa kuwa wengi hawajasoma pale.Eeh mkuu hii ni ngoma, MUHAS ni chuo kizito kwenye medicine, alumni zake wana network nzuri na fursa nyingi za conferences na summits. Na kuhusu life partner, hiyo ni bonus haha, lakini ukweli ni kwamba kusoma huko kunakupa exposure nyingi zaidi ya darasani, inakufanya ujiongeze kwenye CV mapema. Mimi niliwahi kusikia wengine wanaanzisha NGOs na kufanya research nyingi, hiyo ni advantage kubwa kwenye career. ndio, kuna advantage, ila ujue ni kazi na pia unahitaji kujituma mwenyewe, chuo peke yake hakikufanyi kitu.
ChaiMbali na mada yako
Life partner itabidi nimchukulie hukk muhas
(ke) wako smart snaa
Unavuta bangi?Chai
Chai.Km ilivyo kwa UDSM pale COET.