YahHakuna zaidi ya kuwa na GPA ndogo hasa waliohitimu zamani ,adavantage waliyonayo ni GPA ya 2.5-3 .
na ujinga wa kuambiwa you are the best,cream of the nation(kuvimbishwa mabichwa).
walimu wa MUHAS wa zamani jau sana,walikuwa wanafurahia wanashangilia darasa lake likifeli...Washenz sana hao niliishia kupata ka gpa 3.4 nkaja kosa fursa za maana sana
Walitukosea sana wale kina mhalu na kina mwakyoma yan mtu ata akiongea humskii dahwalimu wa MUHAS wa zamani jau sana,walikuwa wanafurahia wanashangilia darasa lake likifeli...
yani mwalimu anaingia class anasema mko wengi sana..lazima mpingue .
mwingine anasema...huwezi kupata zaidi ya C...hakuna namna utapata A,B+ hizo sahau..
yet anawaambia YOU ARE THE BEST ,A CREAM OF THE NATION...yet ??
Hakuna daktari bora zaidi ya mwingine daktari yeyote aliyehitimu na kufaulu ni daktari bora awe amesoma KCMC ama MUHAS ama bugando ama ,madakatri wanapaswa KUHESHIMIANA na KUSHIRIKIANA ,wote ni madaktari ,waliothibitishwa na kutambuliwa na BODI ya madkatari na kupews leseni...haya mambo ya EGO hayana tija.Hakuna
Inategemea zaidi na akili yako ilivyo nzuri na sharp. Mimi huwa naamini KCMC inatoa madaktari bora pia na kuna opportunities nyingi pia za nje
Kuwapata ndio kazi maana sio romantic 😂Mbali na mada yako
Life partner itabidi nimchukulie hukk muhas
(ke) wako smart snaa