Je, kusoma chuo kama MUHAS kuna advantage kwenye career nzima ya medicine?

Kuna jamaa yangu kasoma hapo hata kutibu malaria hawezi.
Sasa sijui alienda kusoma au kucheza?
 
Siku ukipata Prospectus ya UDSM soma wale Prof, Ass Prof, Senior lecturers na Kecturer wa Pale uone namna walivyopiga hivyo vyuo vikubwa sana huko Dunian mana kila Idara ina staff wake na Elimu yao na wapi wamesoma nafikiri kibongobongo pale ndio wana wakufunzi wamesoma vyuo vikubwa sana huko ulimwenguni ila kila leo inazidi kushuka kwenye international Ranking Kikubwa ninachotaka kusema Elimj ya Chuo kikuu ni Universal kama TCU wanakupa usajili na wanakuruhusu kutoa Programmes flan huko kaizni hata waga hatuulizani umesoma wapi sijui usome Bugando sijui usome St ftancis na wewe usome Muhas sijui UDSM wote mnaanza na Same Salary scale na unaweza shangaa kabisa ukakuta HOD wako kasoma IMTU na wakala Ban akamalizia Elimu yake UDOM huko
 
Eeh mkuu hii ni ngoma, MUHAS ni chuo kizito kwenye medicine, alumni zake wana network nzuri na fursa nyingi za conferences na summits. Na kuhusu life partner, hiyo ni bonus haha, lakini ukweli ni kwamba kusoma huko kunakupa exposure nyingi zaidi ya darasani, inakufanya ujiongeze kwenye CV mapema. Mimi niliwahi kusikia wengine wanaanzisha NGOs na kufanya research nyingi, hiyo ni advantage kubwa kwenye career. ndio, kuna advantage, ila ujue ni kazi na pia unahitaji kujituma mwenyewe, chuo peke yake hakikufanyi kitu.
 
Hawawezi kuelewa kwa kuwa wengi hawajasoma pale.

Ila asilimia 96 ni one za 3 mpaka 6 kwa kozi za DDS ,BPHARM ,MD na BIOMEDICAL cream of the nation ila sasa malecturer wa kibongo aah shitt,

Ila kwa sasa watu wanapata GPA 4 za kumwaga,maana kwa sasa hayo mambo ya kukaziana na figisu yamepungua.

Na sa hivi kuna cakpus tatu kuanzia mwaka huu ,ambayo ni mloganzila,kigoma na main campus upanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…