Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,048
- 60,245
Acha uongo wewe.Nilishalazwa hapo ICU nikaziona kwa macho yangu.
Acha uongo wewe.Nilishalazwa hapo ICU nikaziona kwa macho yangu.
Sweden wanatumia. Hakuna Lockdown Sweden na shule hazijafungwa.Hakuna mahali popote hapa duniani mpaka sasa ambapo Herd immunity imeweza kufaa katika Corona. Nina uhakika mzee Meko hajui hata maana ya herd immunity sembuse mantiki.
Ni uwendawazimu kuwaza kichawi halafu ukategemea matokeo ya kisayansi.
Sisi tumeambiwa tujifukize na virusi vitapasuka pasuka kwa mvuke wa joto!
Dawa imeingia!Acha uongo elimu ya afya huna. Acha wachangie wanaojua.
Umesema vema ndugu, Herd Immunity haijengwi kwa kuachia ugonjwa usambae Bali utoaji wa chanjo wa chanjo kwa most vulnerable population.Ukiona mtu ana suggest hii njia ya kukabiliana na corona, ujue huyu ni MUUAji WA MAKUSUDI. Herd immunity inatumika kama una chanjo na si vinginevyo! Ukiitumia naturally utamaliza the entire city!
Hata UK Kuna mtu namjua anaumwa Corona kwa mara ya pili Sasa.exactly na wapo watu huko china wameshaugua na wamepata relapse
Hongera kwa kuwatelekeza Watanzania waliowaajiri na kuwapa madaraka yaliyowalevya mazima.Sisi tumeamua kufuata ushauri wa Mwigulu Nchemba na takwimu hazitangazwi tena kama alivyoshauri former minister
Ni wakati wa kukubaliana na ukweli hili janga ni letu sote, kama tukiamua kutumia herd immunity kuna ngazi mbali mbali za kimaishawhat?
nye tafiti zaAkili ya kipunguani kweli Kama ya kujifukiza ,akili za kichawichawi.
kwann sio nzuri? mask kila mtu ajishonee ama kujitengenezea. lkn this goes beyond that. kwasabb kuna ishu za wale ambao wanaumwa kukosa huduma na wengine wakatoroka lkn hatuoni tukiambiwa wako wapi. hatuji kiwango cha maambukizi kimefikia wapi no info at all unaona kweli watu wanataka sisi tuendelee kuishi?Taratibu Mwalimu hiyo sentenso ya mwisho siyo nzuri. Charity begins from home, ukianza wewe na familia yako kujilinda na ukahamasisha jirani yako etc tutakomboka wote. Tatizo tunaitegemea serikali hata ije ituvalishe mask
Ukisoma alama za nyakati inawezekana herd immunity ndio mbinu ambayo tumechaguliwa, maana hata mkuu kwenye hotuba yake alisema kwamba "huu ugonjwa baadaye tutajenga immunity".mimi sipingani na wewe kabisa na ndio mana nimesema kuwa mataifa yanayojiweza yamekataa hii mbinu.
so far kuna watanzania wengi sana wanaoishi na magonjwa mengine na wanaendeleza gurudumu la uchumi kwasababu wanashiriki licha ya kuwa ni wagonjwa. lkn kwa kuruhusu ama kuchagua herd immunity inamaana hawa tunataka waondoke wakati bado walikuwa ni wazalishaji wazuri tuu
tusiwaruhusu wa trade maisha yetu kiasi hiki. ndio mana yy kakimbilia chattle afu sisi katuacha tuaskilizia sirens za ambulance tu sio? manake kwasasa mbali na mask mtu unahitaji sound proof gadget kama unaish maeneo jiran na hosp. manake sio kwa hayo makelele ya ambulanceUkisoma alama za nyakati inawezekana herd immunity ndio mbinu ambayo tumechaguliwa, maana hata mkuu kwenye hotuba yake alisema kwamba "huu ugonjwa baadaye tutajenga immunity". Inawezekana wanaofanya maamuzi wameshatuchagulia namna ya kupambana nao, kwa kuwa wao wao wameshika mpini na sisi tumeshika makali tujiandae kisaikolojia kwa lolote.