Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
Nilipenda style ya follow up na Lock down ya watu baada ya ugunduzi wa mtu wa kwanza mwenye virusi Tanzania.
Alisakwa dereva, familia yake, pamoja na abiria aliowapakia baadae na familia zao wote wakawekwa karantini. Sijui kama bado ule utaratibu unaendelea hadi sasa. Ile seriousness ya pale mwanzoni ilikuwa kubwa sana.