Je, kusubiri tupate herd immunity ni njia sahihi ya kukabiliana na #COVID19TZA?

Je, kusubiri tupate herd immunity ni njia sahihi ya kukabiliana na #COVID19TZA?

Sahau herd immunity, WHO wameshasema tena na tena , it does not mean that those who have been infected with coronavirus are not still at risk, as experts believe having the virus once does not mean you cannot get sick from it again.

Tatizo la pili waathirika wengi wa corona virus naongelea hao asymptomatic wanatishia kupata blood clots kwenye lungs halafu inawepelekea kuoata stroke, heart and kidney complications na wengine wameshakatwa hata miguu.
 
Samahani sana, lakini nashindwa kujizuia kukuambia..., 'you're out of your mind', au hata hujui unachoandika hapa.
Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.
 
Mbona kipindupindu kila kikija kinatusombwa Kama kawaida au hujui. Tumia kichwa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
This is new infectious disease. Ndo maana wanaongelea Herd immunity. Wao wanahisi mtu akishaugua hawezi ugua tena,ama ikitokea kaugua basi itakuwa katoka hali sio kali sana. Ni hypothesis maana mpaka sasa huu ugonjwa unatuletea mpya kila leo.
 
Victoire,
Kama wakiamua hivi Basi Wana ajenda ya wazi ya kuua watanzania kwa makusudi na ndio maana wanagoma kukatwa mishahara ili pesa hio itumike kununulia vifaa tiba.

Muhimu tukaslamua Sasa kuwapiga red card ili wakabidhi nchi kwa watu walio na uchungu kwa watu wao.
Pia wote walio na mamlaka wanapaswa kufikishwa mbele ya vyombo vya Sheria kwa kusabisha vifo vya watu wengi kwa makusudi.
 
Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.
Usitake kuwa mjuaji na kuvunga watu na kitu usichokielewa kabisa.

Weka 'source' yako hapa, wanaojua kusoma na kuelewa habari kama hizi wakusahihishe ulichoshindwa kukielewa wanachokifanya Sweden, kama kweli kuna la tofauti wanalofanya wao.
 
Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.
 
Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.
Hebu kwanza, ni kama ninakuchanganya na yule 'Victoire' wa siku zote hapa JF, au huyu mwingine?
Ulinipa taarifa ya Italy, nikaikubali.

This one is too outlandish..., lacks any sense of credibility. It is completely preposterous to think Sweden can sacrifice even one of their own for such a mediocre approach.
 
gfsonwin,
Kama ulivyosema, changamoto kubwa ni idadi kubwa ya vifo kwasababu kuu mbili;
1. Watu wenye kinga dhaifu wengi wao watafariki hasa wazee.
2. Wagonjwa wakiwa wengi mahospitali yatazidiwa na hivyo kuna watu watafariki kwa kukosa huduma stahiki.

Sababu nyingine ni kwamba hadi leo hamna taarifa za uhakika zinazoelezea kuwa herd immunity against CoV-SAR-2 inadumu kwa muda gani??Kwamba mtu aliyeumwa akapona(amepata herd immunity), atakaa mda gani kabla ya kuweza kuambukizwa tena?wiki 2, 3, mwezi au mwaka?

Ni bora tungeandaa utaratibu wa kupunguza makali ya maambukizi.Safari za mkoa hadi mkoa tufunge kasoro magari ya mizigo ambayo yatasafirisha bidhaa za muhimu tuu n.k
 
Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.
Kama BoJo aliogopa hiyo 500,000, mbona huelezi hao Sweden wamezuia vipi hata 100,000! Huoni kwamba unajichanganya?
 
FaizaFoxy,
Ujinga mtupu, kwani Kuna mtu anaitumia corona kisiasa? Swala ni viongozi wetu kuwajibika kwa kutaka kututoa kafara.

Korea kusini Kuna watu waliugua corona wakapona lakini wakapata maambukizi Mara ya pili, Sasa herd immunity ipo wapi hapo?

Msiwatete Hawa watu kwa tamaa zao za kupata pesa kutoka nje ya nchi kupitia watalii wakati walijua nini kinaendelea huko nchi.

Wale waliosema wanataka pesa za kigeni na ndio maana hawakufunga mipaka ndio wanapaswa kuwajibika kwa uzembe wao.
 
Kama BoJo aliogopa hiyo 500,000, mbona huelezi hao Sweden wamezuia vipi hata 100,000! Huoni kwamba unajichanganya?
Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.

Ndo nikasema kwetu Tanzania haitawezekna kutokana mpaka sasa hakuna vaccine na pia nchi yetu mfumo wa huduma ya afya ni uozo mtupu. Hivyo mpaka ujenge hiyo kinga utakuwa umeua raia wengi mno. Mimi naona catastrophe kabisa.
 
Ezenwe Olumba,
Wewe kuna kiongozi alikwambia usijikinge na kujilinda na korona kwa njia zote unazozijuwa?

Wewe una kipi zaidi hata utolewe kafara? wewe umekuwa kondoo wa kweli?
 
Sweden wanatumia. Hakuna Lockdown Sweden na shule hazijafungwa.
Wanajuta sasa hivi Waziri Mkuu wao anatamani kuomba wafunge Bar, isitoshe wao hawakufuata hiyo herd immunity shida ilikuwa kushawishi Bunge kuruhusu kuzuia uhuru wa watu maana sheria hiyo haijawahi kutokea kwao toka Dunia imeumbwa, mwisho wa siku wakaruhusu watu wafuate sheria za kujikinga lakini sasa hivi kwa siku 150 + na Wanajuta
 
Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.
Ndo nikasema kwetu Tanzania haitawezekna kutokana mpaka sasa hakuna vaccine na pia nchi yetu mfumo wa huduma ya afya ni uozo mtupu. Hivyo mpaka ujenge hiyo kinga utakuwa umeua raia wengi mno. Mimi naona catastrophe kabisa.
Kajitoa mhanga Yesu itakuwa wa Swedish? Tutashangilia kama wameamua "kujitoa mhanga" kwa ajili yetu, au unaonaje?

Una ushahidi na uliyoyaandika au unakisia tu?
 
Mkuu naomba ufafanue maswali yafuatayo.

1. Je, serikali imeweka wazi kwamba imeamua kuacha COVID19 isambae ili kujenga kinga kwa jamii yote? Au intelijensia yako ndo inaonesha serikali imekusudia iwe hivyo?

2. Mbali na chanjo (vaccination program), kuna ugonjwa wowote umewahi kuzuilika/kutokomezwa kwa herd immunity inayotokana na "field infection"?
Mimi nitakujibu swali la 2.

Ugonjwa kama surua kabla ya kupatikana chanjo yake hii herd immunity ilisaidia kupunguza kasi ya maambukizi.Haitokomezi kirusi/ugonjwa ila inapunguza kasi ya maambukizi.Watu wengi wakiwa na immunity(herd au vaccine) waambukizaji wanakua wachache.
 
Kajitoa mhanga Yesu itakuwa wa Swedish? Tutashangilia kama wameamua "kujitoa mhanga" kwa ajili yetu, au unaonaje?

Una ushahidi na uliyoyaandika au unakisia tu?
Ndiyo ninaishi hapa Stockholm.Shahidi ni mimi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom