Je, kusubiri tupate herd immunity ni njia sahihi ya kukabiliana na #COVID19TZA?

Je, kusubiri tupate herd immunity ni njia sahihi ya kukabiliana na #COVID19TZA?

Hongera kwa kuwatelekeza Watanzania waliowaajiri na kuwapa madaraka yaliyowalevya mazima.
Wamekutelekeza wapi na Nani aliyekutelekeza? Ulitaka ubebwe mgongoni, umekuwa mwari(li) wa Kizaramo? kila wanapokwenda uwe nao?
 
Ndiyo ila nipo mzima wa afya. Nafuata njia zote za kujikinga. Mengine namuachia Mungu.Inshallah tutavuka salama .
Na ndivyo inavyotakiwa. Hakuna shortcut kwenye "virus invasion".

Kwa kukujuza, hakuna aliye salama dunia nzima mpaka sasa.
 
Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.

It is irresponsible to make the whole nation a guinea pig for something not sure yet how it works, what if your expectations are contrary to the actual results? - You just gonna cause a genocide of millions
 
Missile of the Nation,
Kuna Wataalam wanasema hiki kirusi sio natural, ni artificial (man-made). Hivyo kina tabia tofauti na virusi vinavyo"occur" naturally.

Wanasema kingekuwa natural kosingeweza kuathiri watu duniani nzima kwa kiwango na kishindo kile bila kijali tofauti za hali ya hewa au climatic conditions!

Hutegemei kirusi kinachothrive kwenye hali ya baridi kali bado kiweze kuthrive kwenye joto kali kama huku Afrika. Hii inawapa wasiwasi wataalam na kudhani kwamba kirusi hiki kimetengenezwa. Hakikutoka kwa popo!
 
It is irresponsible to make the whole nation a guinea pig for something not sure yet how it works, what if your expectations are contrary to the actual results? - You just gonna cause a genocide of millions

Herd immunity is a natural occurance. Like it or not. It is the path Allah (or call it nature if you like) has chosen and blessed to preserve us.

No one can force or enforce it or even speed it up or slow it down.

Scientists have and are still trying inoculations (vaccinations) to try and speedup the process of acquiring "herd immunity" faster.

People are using the terminology "herd immunity" politically but scientifically vaccinations are also "novel" ways to achieve "herd immunity" faster. Unfortunately not fully proven if they are effective or nature is just laughing at us and takes its toll as it pleases.
 
Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.
Ndo nikasema kwetu Tanzania haitawezekna kutokana mpaka sasa hakuna vaccine na pia nchi yetu mfumo wa huduma ya afya ni uozo mtupu. Hivyo mpaka ujenge hiyo kinga utakuwa umeua raia wengi mno. Mimi naona catastrophe kabisa.
Acha uongo wewe dada huoni aibu ... Eti serikali ya Sweden wameamua kujitoa muhanga labda Sweden ya kwenu Tandale ...


Soma hizi taarifa kutoka official website ya serikali ya Sweden katika hatua walizochukua kupambana na corona, halafu linganisha na hizo takataka ulizotapika ilimradi udanganye watu sijui kwa faida ya Nani ... Huoni hata aibu eti serikali ya Sweden eti imejitoa muhanga raia wake wafe ..sheeeeenziiii


Kama hujui kiingereza sema tufanye translation na sio kuja hapa kuhadaa watanganyika...


Ingia hapa usome mikakati na tahadhari zilizochukuliwa na Serikali ya Sweden kuhusu corona hata Hilo suala unalosema eti shule hazijafungwa limezungumzwa humu , ingia ujisomee ujione ulivyo zebedayo kichwani. The Government’s work in response to the virus responsible for COVID-19
IMG_20200429_005253.jpeg
IMG_20200429_005338.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
.Mbaya zaidi hakuna utafiti tuliofanya kuonyesha kuwa waliougua COVID-19 wamejijengea lifelong immunity?
Katika immunology ya kila siku, sterile immunity is hard to achieve, sijui kama kuna ugonjwa ambao victim wake wamewahi ku acquire sterile immunity by natural infection todate! (stand to be corrected here). Hivyo huwezi kuleta majaribio ambayo hayako supported na science! Utaua watu wengi sana
 
FaizaFoxy,
Not all deseases the body is able to make natural immunity after being exposed. Hivi huwa hamuelewi?, Acheni kussuport genocidal stratergy nyinyi.

Common flu caused by influenza ni mmojawapo ya ugonjwa ambao hakuna natural immunity baada ya kuupata na hakuna vaccine ya uhakikandiyo maana kila mwaka huko Marekani wanapata shot mpya ya flu.

Sasa bahati mbaya COVID-19 siyo flu ya kawaida mortality rate yake ni 3% to 4% wakati hiyo common flu mortality rate yake ni 0.1% tu.

Tusiwageuze wananchi guinea pigs, watakufa wengi kwa uzembe wa serikali
 
Not all deseases the body is able to make natural immunity after being exposed. Hivi huwa hamuelewi?, Acheni kussuport genocidal stratergy nyinyi. Common flu caused by influenza ni mmojawapo ya ugonjwa ambao hakuna natural immunity baada ya kuupata na hakuna vaccine ya uhakikandiyo maana kila mwaka huko Marekani wanapata shot mpya ya flu.
Sasa bahati mbaya COVID-19 siyo flu ya kawaida mortality rate yake ni 3% to 4% wakati hiyo common flu mortality rate yake ni 0.1% tu.

Tusiwageuze wananchi guinea pigs, watakufa wengi kwa uzembe wa serikali
Wewe hata sikurlewi unasema nini au argument yako ni nini?

Unayo "shot" ya Corona?
 
Wewe hata sikurlewi unasema nini au argument yako ni nini?

Unayo "shot" ya Corona?

Huwezi kuelewa kwa sababu haya mambo yako juu ya upeo wako.

Kiufupi hakuna immunity dhidi ya kirusi cha Korona baada ya mtu kuwa umeugua na hivyo haiwezekaniki ikawepo herd immunity dhidi ya COVID-19.

Kutegemea immunity ambayo haipo ni kutaka kuua mamilioni ya watu tu kizembe.

Kama huelewi haya mambo omba shule tukusaidie usikurupuke.
 
Missile of the Nation,
Inaonekana uelewa wako wa herd immunity ni mdogo sana jitahidi uendelee kujifunza zaidi. Hasa jitahidi kujua ni wakati gani herd immunity inakuwa activated.

Haiwezekani ukasema hakuna immunity ya COVID-19 sijui umefanya research lini wakati ndiyo muda huu ugonjwa umeaanza na utajua tu mgonjwa ana herd immunity baada ya kuugua na kupona.

Wagonjwa waliyopona ni wengi sana ukilinganisha na waliokufa hiyo tu inaonyesha immunity ya wagonjwa ndiyo iliyofanya COVID-19 apotee mwilini mwao. Hata hapa Tanzania wapo kibao wamepona bila kunywa dawa yoyote.
 
magu2016,

Shida ni kwamba haijulikani kama waliopona wanakuwa protected kupata reinfection. Na kama wanakuwa protected haijulikani ni kwa muda gani. Na ni kiasi gani cha antibodies kinatakiwa Kiwe cut-off points kuonyesha huyu mtu yupo protected. Kuna Virusi wengine wa Corona( sio Covid-19) mtu akipata maambukizi anadevelop Kinga ya miezi sita na wengine hadi miezi 18, kutegemeana na aina ya kirusi.

Tatizo la virusi huwa ni kubadilika badilika kwao. US huwa wanatoa chanjo ya flu ( influenza virus), lakini wanachotarget zaidi ni kuzuia severity tu ya ugonjwa na sio kukinga. Ukiangalia uwezo wa vaccine hiyo kukukinga na flu ni chini ya 50%

Kwa hiyo Safari bado ni ndefu sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Herd Community haifai kwa Tanzania. Wengi wetu afya zetu ni mbovu sana. njia hii kama inatumika kisiri siri tujue kuwa tutakufa sana hadi itatisha ni uhakika 90% ya watu wenye presure watakufa; 50% ya wazee miaka 75+ watakufa, wagonjuwa wa kisukari 50%, Hiv 50% etc, tutajuta kama hii njia itatumika kwa nchi yetu.

Labda kama chanjo itakuwepo ndipo angalau, lakin kichwa kichwa tutakwisha hata kama mtaomba kiasi gani, maana Mungu hasikilizi ujinga
 
Missile of the Nation,
Inaonekana uelewa wako wa herd immunity ni mdogo sana jitahidi uendelee kujifunza zaidi. Hasa jitahidi kujua ni wakati gani herd immunity inakuwa activated.

Haiwezekani ukasema hakuna immunity ya COVID-19 sijui umefanya research lini wakati ndiyo muda huu ugonjwa umeaanza na utajua tu mgonjwa ana herd immunity baada ya kuugua na kupona.

Wagonjwa waliyopona ni wengi sana ukilinganisha na waliokufa hiyo tu inaonyesha immunity ya wagonjwa ndiyo iliyofanya COVID-19 apotee mwilini mwao. Hata hapa Tanzania wapo kibao wamepona bila kunywa dawa yoyote.

Hiyo bold hapo ni Wrong kwa njia zote, iwe ni Kisarufi, Kimanti na hata kielimu.
Hakuna ugonjwa unaitwa "herd community"
 
Wakati ugonjwa unaingia uingereza walitaka kufanya njia hiyo kwa mara ya kwanza nayo ikaja kivingine wenyewe wakanyoosha mikono. Hiyo si kwa corona maana huu ni mziki wa aina yake
 
Herd Community haifai kwa Tanzania. Wengi wetu afya zetu ni mbovu sana. njia hii kama inatumika kisiri siri tujue kuwa tutakufa sana hadi itatisha ni uhakika 90% ya watu wenye presure watakufa; 50% ya wazee miaka 75+ watakufa, wagonjuwa wa kisukari 50%, Hiv 50% etc, tutajuta kama hii njia itatumika kwa
Actually Corona virus is lowering BP while increasing heart rate to 100. So pressure does not increase chances of dying
 
Halafu nyie mmenielewa vibayaaaa.Mnafikiri nipo pro Herd immunity in Tanzania.
Hiyo comment nilikuwa namjibu mtu aliesema duniani hakuna nchi iliyoamua kufanya process ya kujipatia kinga hiyo. Ndo nikamjibu Sweden wameamua kila kitu kiende kama ilivyokuwa ili kupata Herd immunity.
 
Back
Top Bottom