Je kutafuta mali bila kuziendeleza ni laana inayowakabili Waafrika weusi?

Mleta mada hoja yako ni nzuri na ya muhimu sana

Sisi ngozi nyeusi asilimia kubwa tunakosa maarifa ya kujenga utajiri wa vizazi kwa vizazi vijavyo

Nakupa mfano huu halisia, Mjomba wangu ana mashamba yake makubwa tu ya tumbaku Tabora, ila kwasasa ni mzee sana, hana nguvu tena za kusimamia mali na ulimaji

Ktk uzao wake alipata watoto watano, kati yao wawili ni madokta, mmoja ni dereva wa malori wakike wawili ni wafanya biashara wa maduka ya nguo miji tofauti tofauti Tz

Kwhyo anko wangu huyu ktk uzao wake kashindwa kutengeneza au kupata mrithi sahihi wa kuendeleza hii biashara ya kilimo ambayo yeye kaifanya ktk miaka yake yote ya tangu enzi za ujana mpaka uzeeni, japo na yeye alirithishwa na babu yetu (baba yake anko)
Ktk shughuli zake hizi amepata mafanikio kadhaa ikiwemo kujenga nyumba kadhaa Tabora pale ikiwemo Lodge, kajenga nyumba mbili Mwanza mjini, kusomesha watoto wengne mpaka udokta na wakike kawapa mtaji wa biashara kufungua maduka

Lakn kutokana na uzee wake sasa hv hafanyi shughuli tena za kilimo, na mashamba mengine amekodisha, mengine alishauza kwasbb hakupata mtoto wa kuendeleza hii shughuli ya kilimo

Kwahyo mpaka hapa unaona namna baadhi ya sisi ngozi nyeusi tunavyotengeneza cycle of poverty
Robert Kiwosaki anaita 'Rat race'

Yaani kila uzao unakuja kuanza na shughuli yake mpya, na si kuendeleza yale yalioanzishwa na wazazi au mababu zetu. Hivyo ni ngumu kutengeneza utajiri na kuurithisha kutoka kizazi kimoja kwenda kingine

Anko wangu huyu siku Mungu akimuita, basi shughuli ya umiliki wa mashamba itakuwa imefika kikomo ktk familia hii, maana naamini yatauzwa tu
 
Shukrani sana kwa nyama nyama na mifano hai na yenye uhalisia!, naona kizazi kinazidi kujitambua hope huko mbeleni tutakuwa watu wenye kuukataa umasikini kwenye koo zetu
 
Back
Top Bottom