Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2021
Posts
4,507
Reaction score
11,367
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
 
In an unlikely situation that your dream comes true then it will definitely be a turning point for Tanzania and it will be the beginning of a great civil insurgency in the country that will culminate in the fall of the ccm regime.

In simple terms, something close to the civil war will have to happen.
 
Bila sadaka kubwa ukombozi wa kweli hauwezi kufikiwa
mwisho haujulikani lakini lengo linafahamika, wacha twende tuone Samia ataishia wapi
Wenye busara wengi wameshaongea ni muda wa vitendo sasa
 
Sasa kama alinusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na mambo yakaendelea kama kawa. Na hakuna tukio kubwa kama hilo kwenye maisha binafsi ya Lisu na historia ya nchi yetu.

Sembuse hiyo kesi kuhukumiwa kunyongwa?

Hakuna kitakachotokea.
Labda Mungu awe anamaslahi yake kwenye maisha ya Lisu. Na anataka kusema nasi katika kesi na maisha yake
 
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Hakuna justification yeyote ile ya kukufanya wewe kutamani binadamu mwenzako ahukumiwe kunyongwa ili tu eti wewe uje uone matokea ya baada ya Lisu kunyongwa,


Hiyo Paragraph yako imenishanfaza sana,haikukaa kibinadamu.
 
hicho ndicho anachostahili kulingana na makosa yake kwa mujibu wa sharia za nchi, ulitaka kiwe kipi zaidi ya hicho cha kunyongwa hadi kufa?🐒
 
Atanyongwa.
 
Anajua Jehova,sisi tumeshindwa
Ni ukweli kabisa
Sasa hivi kila mtu yupo gizani, kuanzia Lisu, Samia, Nchimbi, Heche, CCM yote, usalama wote, JWTZ, Jaji mkuu na majaji wote, maaskofu hata wewe mwandishi, na wote humu jukwaani plus Pascal Mayalla

Nakuna anayejua nini kinachotokea baada ya haya yote.
Walau Lisu yeye anaishi kwa matumaini kwamba maumivu yake yanaweza kuzaa matunda.
Uongozi nyakati hizi ni mkubwa sana maana unaongoza watu kwenda mahali pasipofahamika
 
Wanacho kosea wapinzani ni kuwapigania watanzania mbu mbu mbu.

Yaani ni sawa na kujidharau kabisa.

Unakuwa chambo kwa majitu yanayo furahia simba na yanga.

Mimi nampongeza sana Mbowe, katumia common sense, na alikuwa anatumia common sense toka mwanzo

Kamwe usitumie logic mahala nguvu ya hisia haipo utaumia bila kupenda
 
Acha Lissu Aishi maisha aliyoyachagua
 
Kama ni mpango wa Mungu linaweza kutokea lolote.. Maana Mungu anaweza kuwqpiga upofu au kuwafanya mahakimu, na hao waliompatia kesi kuwa na mioyo Migumu kama alivyofanya kwa falao. Ili badaye awatandike vizu kwa mapigo yake.
In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…