Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Utakuwa ndiyo Mwanzo wa Ugaidi orijino...
Polisi hakuna atakaye kaa Lindoni salama ..ni kuviziwa na kuchinjwa
 
Si
Hawatafika huko..

They know exactly kuwa, wanacheza siasa. Hakuna criminality hapo...

Tundu Lissu hatamaliza hata utetezi wake before something happens quickly...

Wale mashahidi wa CATEGORY A wanaotakiwa kufika mahakamani ndilo goli muhimu alilofunga TL na limewachanganya kwelikweli...

Samia akikataa kwenda mahakamani, ni shida...

Akiamua kutoa ushahidi pia ni shida kwa sbb sioni atasema nini kwa makosa aliyokwisha kufanya...

Hana break ya mdomo huyu bibi. Ni lazima atajikwaa tu..

Kwa upande mwingine wanaweza kumkwepesha...

Lakini hao wenzake waliobaki, hawana namna ya kukwepa, watakuja...
Si jamaa wameishakomaa kwamba hawakutajwa wala kuandikwa kweney commital, nahisi majaji watasjikilia hapohapo na kuwaondoa kinamna hiyoo
 
Ni ukweli kabisa
Sasa hivi kila mtu yupo gizani, kuanzia Lisu, Samia, Nchimbi, Heche, CCM yote, usalama wote, JWTZ, Jaji mkuu na majaji wote, maaskofu hata wewe mwandishi, na wote humu jukwaani plus Pascal Mayalla

Nakuna anayejua nini kinachotokea baada ya haya yote.
Walau Lisu yeye anaishi kwa matumaini kwamba maumivu yake yanaweza kuzaa matunda.
Uongozi nyakati hizi ni mkubwa sana maana unaongoza watu kwenda mahali pasipofahamika
Inasikitisha
 
Naona Lissu anapambania watu ambao, hawapo tayari kwa mapambano, wangapi tupo kujitoa kama afanayavyo Lissu ili kurekebisha Taifa ambalo limeshapotea na kudhaurika uso wa dunia
Pangekuwa na watu 50 wenye uchungu na Lissu wangetumia fujo zote kuhakikisha jamaa anakuwa relleased, matokeo yake Lisu anateseka peke yake wakati wengine wanafurahia maisha uraiani.
 
Hawatafika huko..

They know exactly kuwa, wanacheza siasa. Hakuna criminality hapo...

Tundu Lissu hatamaliza hata utetezi wake before something happens quickly...

Wale mashahidi wa CATEGORY A wanaotakiwa kufika mahakamani ndilo goli muhimu alilofunga TL na limewachanganya kwelikweli...

Samia akikataa kwenda mahakamani, ni shida...

Akiamua kutoa ushahidi pia ni shida kwa sbb sioni atasema nini kwa makosa aliyokwisha kufanya...

Hana break ya mdomo huyu bibi. Ni lazima atajikwaa tu..

Kwa upande mwingine wanaweza kumkwepesha...

Lakini hao wenzake waliobaki, hawana namna ya kukwepa, watakuja...
Ex-VP na Ex-PM, na IGP, CDF
 
Husikariri maisha ata MO29 viongozi walipuuza hivi hivi, ogopa mwanadamu, mfano MO29 CCM hisingetumia risasi za moto aisee ikulu ilikuwa inaondoka
Mambo ya kukadiria watu kwa macho huwa yanawagharimu wengi. Mwanadamu ni kiumbe Tata haswa!
 
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa......ikapigwa dana dana akiwa ndani... Mara paap ,msamaha wa Rais ...
Sijajua maridhiano itakuwaje
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Mwenyezi Mungu atuepushe, hilo lisitokee!
 
Mbingu zitakataa kumpokea na milango yote itafungwa.
 
Back
Top Bottom