Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Ninavyowajua au tunavyojuana
Atabaki kuzungumziwa vijiweni na makazini na sehemu zingine
Na wengine wataenda mbali na kusema serikali inazima tukio fulani kwa kumhukumu

Hili nalo litapita na kusema IPO SIKU Mungu atatulipa
 
Husikariri maisha ata MO29 viongozi walipuuza hivi hivi, ogopa mwanadamu, mfano MO29 CCM hisingetumia risasi za moto aisee ikulu ilikuwa inaondoka
 
Nakueleza hata CCM kwa sasa wanahaha kuona jinsi ya kumtoa. Ila na nyie muache kutumia fursa hii kuomba status za ukimbizi!!!! Janja yenu inaeleweka
Wanahaha? Kwamba walishindwa kusema hana kesi ya kujibu, na kumwachia
 
Siombei itokee lakini hakuna impact ya maana itatokea sio kwa bongoland bado sanaa ubinafsi na unafki uko juu mnoo, pressure kutoka nje itakua kubwa kuliko ndani, waTz hatupendi maumivu, na hakuna mabadiliko ya kweli yanatokea pasina maumivu haswaa.
Tatizo letu si kwamba hatuoni changamoto; mara nyingi tunaziona, tunazijadili, tunazilalamikia, lakini hatutaki kubeba gharama zinazohitajika kuzibadilisha. Hata hivyo, siamini kwamba kila mabadiliko ya kweli lazima yaje kupitia maumivu makubwa. Kuna mabadiliko yanayotokana na upatikanaji wa elimu bora, taasisi bora, sheria zenye meno, uwajibikaji na uongozi wenye maono.

Kikubwa ni kwamba jamii haiwezi kutaka matokeo mapya huku ikiendelea kulinda tabia zilezile zinazozalisha matokeo ya zamani. Na hapo ndipo ubinafsi na unafiki vinapokuwa tatizo—mtu anataka mabadiliko, lakini si pale ambapo mabadiliko hayo yatamgusa yeye, maslahi yake au watu wake.
 
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Unaweza usione hata hiyo hukumu yenyewe. Kifo hakina guarantee. We Sema hata serikali sidhani kama inataka kufika huko.
 
Hivi kumbe kesi ya Lisu ndio ipo serious hivi Mimi nilijua ni Ile michezo Yao tu ya kisiasa alafu inapigwa simu Moja tu kesi inaisha
 
Wanahaha? Kwamba walishindwa kusema hana kesi ya kujibu, na kumwachia
Unakumbuka ulivyokuwa ukichochea watu waandamane na kuwa JWTZ watawalinda, kumbe ulitaka mambo yaharibike ili mpate status ya ukimbizi huko mlipozamia bila makaratasi. Na mwezi huu nadhani mmefanikiwa! Lakini kumbuka Trump soon atawaondolea maana hii kitu itakuwa imeisha. Mtaambiwa rudini Tanzania maana sasa ni shwari. Mbinu hii ilitumika hata kwa Wazanzibari enzi hizo
 
Tatizo letu si kwamba hatuoni changamoto; mara nyingi tunaziona, tunazijadili, tunazilalamikia, lakini hatutaki kubeba gharama zinazohitajika kuzibadilisha. Hata hivyo, siamini kwamba kila mabadiliko ya kweli lazima yaje kupitia maumivu makubwa. Kuna mabadiliko yanayotokana na upatikanaji wa elimu bora, taasisi bora, sheria zenye meno, uwajibikaji na uongozi wenye maono.

Kikubwa ni kwamba jamii haiwezi kutaka matokeo mapya huku ikiendelea kulinda tabia zilezile zinazozalisha matokeo ya zamani. Na hapo ndipo ubinafsi na unafiki vinapokuwa tatizo—mtu anataka mabadiliko, lakini si pale ambapo mabadiliko hayo yatamgusa yeye, maslahi yake au watu wake.
Mkuu nipe mfano mmoja tu mabadiliko ya ukweli yalipatikana kwa hizo point umetaja elimu, taasisi, sheria! Tunaongelea mfumo uliokava Kila nyanja ya maisha yetu! Ni kama kansa ilioenea sana kuitibu ni ngumu.. Unaona yule jamaa Hamzah kipindi kile sema tu alikua msomali, inatakiwa mkerketwa awe committed namna ile ndio labda tutaamka na sio mmoja au wawili.. unakumbuka yule mtunisia 2010 aliejimwagia petroli na kujiwasha kisa serikali mbovu na uonevu wa polisi Kisha ikatokea revolution. Elmu sijui Sheria hazitafanya kazi kama kansa imeenea kote.
 
Husikariri maisha ata MO29 viongozi walipuuza hivi hivi, ogopa mwanadamu, mfano MO29 CCM hisingetumia risasi za moto aisee ikulu ilikuwa inaondoka
Mbona kama umeandaa conclusion yako kuna jambo unatamani akujibu unavyotaka wewe atasahaulika tuu kama wengine wewe katika Familia yako hamjawahi kufiwa? Habari ya kufungwa kwake itavuma siku 2 tuu then anasahaulika tumuombee atoboe rufaa na siri ya Rufaa asubiri regime imalizike then aombe maa yake 2031 ndiyo ataanza process za rufaa
 
Atakuwa kafa kishujaa.
 
Attachments

  • Screenshot_20260823-153726.png
    Screenshot_20260823-153726.png
    183.2 KB · Views: 9
  • Screenshot_20260823-153745.png
    Screenshot_20260823-153745.png
    160.7 KB · Views: 8
  • Screenshot_20260823-153745.png
    Screenshot_20260823-153745.png
    160.7 KB · Views: 6
Na kwa situation ilivyo. Hata kama kesi watu wengi wanaichukulia kama ya kisiasa lakini kuna kila dalili atakutwa na hatia.

Na Lisu kwa anavyoonekana yupo tayari kwa majibu hayo.

..wewe inaelekea umetumwa.

..unachofanya ni kuwapanga watu kisaikolojia ili wakubali hukumu ya hatia dhidi ya Tundu Lissu.

..Ushindwe. Na ulegee.

..LISSU SIO MHAINI.

..Na wananchi wasisitize msimamo huo kuanzia sasa.
 
..kwa hiyo watoa msamaha wapate credit, huku Majaji na Waendesha Mashtaka wakilaumiwa na kuingia ktk historia mbaya?
Unaona wale majaji wapo sawa mkuu ?
Mbona wameishakubali kuonekana wapo wapumbavuuu wasio na akili wala wasio zingatia maadili na heshima ya kazi yao
 
Wanampotezea muda tu.

They know they can't kufika huko.

Just kukurukakara tu za hapa na pale.

Wanajipotezea muda na wao.

They can do more important things than dealing with typical mumbojumbo case
 
Atapata msamaha wa Rais,kisha atapoteza sifa ya kugombea.
Historia itafungwa namna hiyo.
Kinachomgharimu Lissu,ni ile kauli yake ya kumchukulia Mungu poa.Alisema kwenye kupigania katiba mnamwachia Mungu,Mungu hatawasaidia!
Asipotubu,Mungu ataufanya moyo wa Farao kuwa mgumu.
Mimi ni mjumbe tu
Mbona alikuwa sahihi sana, tena mno.
Unategemea Mungu ndio aje kutupambania katiba mpya ? Ila sisi watz jau sana aisee.
 
Back
Top Bottom