Nakueleza hata CCM kwa sasa wanahaha kuona jinsi ya kumtoa. Ila na nyie muache kutumia fursa hii kuomba status za ukimbizi!!!! Janja yenu inaelewekaInaweza CCM hawana aibu
Nakueleza hata CCM kwa sasa wanahaha kuona jinsi ya kumtoa. Ila na nyie muache kutumia fursa hii kuomba status za ukimbizi!!!! Janja yenu inaelewekaInaweza CCM hawana aibu
Sidhani kuna credit yoyote watapata.Kama ikifikia huko, watafanya kumsamehe ili wapate credit
Sidhani kama wataweza kumnyonga!Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
Chukulia ungekuwa ni Wewe!hicho ndicho anachostahili kulingana na makosa yake kwa mujibu wa sharia za nchi, ulitaka kiwe kipi zaidi ya hicho cha kunyongwa hadi kufa?🐒
sheria haijali mimi au wewe gentleman bali ni muhalifu na mkikua sheria husika yeyote tu kwa mujibu wa sheria anashtakiwa na anahukumiwa 🐒Chukulia ungekuwa ni Wewe!
Mkinukishe wapi nyie 😂Tutakinukisha kwelikweli
Kwenye Uchaguzi mkuu hautafanyikaMkinukishe wapi nyie 😂
Yupo ndani zaidi ya mwaka sasa, mmefanya nini?Kwenye Uchaguzi mkuu hautafanyika
Lisu hata sasa hastahili kushikiliwa kwenye kuta za mahabusu. Ungekuwa ni mtu wa kukinukisha kweli. Usingepoteza muda wako kuandika hiyo comment badala yake ungekuwa tayari umeshakinukisha. Ila ndio kama ilivyo kwa wabongo wengi wishful thinking iko na nguvu kuliko uwezo halisi wa ku execute.Kama itatokea hivyo basi sadaka ya damu ya Lissu italikomboa taifa .maana hata sisi wengine tutakinukisha
kwenye mitandao ya kijamii.Mkinukishe wapi nyie 😂
Kakojoeni mlaleh
kwenye mitandao ya kijamii.
Unaielewa hii statement? :Ushahidi sio lazima uwe mzito na wa kuaminika" ili Lissu aonekane alitenda kosa.Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.
Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.
Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.
Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?
Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?
Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?
Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?
Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.
Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.
Karibu
eehWatanzania watatulia kimyaaa kama hakuna kilichotokea. Usiwaamini wabongo wewe hata kwa mbali
Tutakinukisha kwelikweliYupo ndani zaidi ya mwaka sasa, mmefanya nini?
Umeelewa nilichokuuliza?Tutakinukisha kwelikweli
Uchaguzi huu tutauvura kwelikweli tunaenda kuhamasisha uasi tutakinukisha kwelikweliUmeelewa nilichokuuliza?
Kaa humu 🗑️Uchaguzi huu tutauvura kwelikweli tunaenda kuhamasisha uasi tutakinukisha kwelikweli
Mh Lisu alishawahi kusema, yeye alishahukumiwa kifo wakati wa Utawala wa awamu ya tano. Huyu mnaemuona ni Mungu pekee mwenye siri ktk kuurejesha uhai wake tena duniani. Na kamwe hatatulia na kama ikiwezekana basi waje wamalizie kazi aliyoianzisha Magu.