Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Aliyewatuma kutoa hukumu hiyo atakufa. Kisha watakata rufaa na hukumu kufutwa
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu

Under standard international legal principles, p

eaceful protest against election laws or government fairness is a protected democratic right, not treason.

However, in certain political contexts
like Tanzania,
authorities have controversially categorized specific public calls to obstruct or boycott elections as capital treason charges.
S

tandard Legal Definition of Treason
Core Elements:
Treason strictly involves trying to violently overthrow the government, levying war against the state, or assisting a foreign enemy.

Protected Expression:
Criticizing laws, demanding electoral reform, or organizing peaceful assemblies are recognized globally as free speech and political participation, not crimes against the state.

The Context in Tanzania
Government Actions: Prosecutors have argued that actions or statements intended to completely block, halt, or dismantle a scheduled national election cross the line from protest into trying to intimidate or subvert lawful state authority under Tanzania's Penal Code.

High-Profile Cases:
Prominent opposition figures like CHADEMA leader Tundu Lissu faced high-profile treason trials and hundreds of demonstrators have been detained or charged with treason following aggressive state crackdowns on disputed polls.

Human Rights Concerns:
Global watchdogs and international bodies regularly condemn these legal moves, warning that prosecuting political dissent and election grievances as capital offenses effectively criminalizes basic opposition activity and undermines human rights
 
Kwani mtu akikutwa na kesi ya kujibu tayari amehukumiwa kua mkosaji? Lissu anaweza kushinda pia .. lakini pia sio mtu wa kwanza kushtakiwa hayo makosa na waliowai hakuna ata mmoja alienyongwa.
MUNGU NI MWEMA.
 
hicho ndicho anachostahili kulingana na makosa yake kwa mujibu wa sharia za nchi, ulitaka kiwe kipi zaidi ya hicho cha kunyongwa hadi kufa?🐒
Utaanza wewe kufa na mama yako Samia. Lissu hatokufa kwa mapenzi ya ******* kama nyie!
 
kwangu mimi kuishi ni Kristo na kufa ni faida, lakini sio kufa kindezi kama huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi gentleman 🐒
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Hakuna kitu cha namna hiyo na hakita tokea.
Labda waamue kuwa problem causer and problem solver,yaani watoe maagizo ya kumuhukumu hiyo hukumu then watoe msamaha na hii ndiyo nia na dhamira yao.
 
Kitendo Cha kuwa convicted na ikatangazwa hivyo aiseee sijui Hali itakuwaje,na ushaidi huu huu wa kitapeli acha tuone
 
Under standard international legal principles, p

eaceful protest against election laws or government fairness is a protected democratic right, not treason.

However, in certain political contexts
like Tanzania,
authorities have controversially categorized specific public calls to obstruct or boycott elections as capital treason charges.
S

tandard Legal Definition of Treason
Core Elements:
Treason strictly involves trying to violently overthrow the government, levying war against the state, or assisting a foreign enemy.

Protected Expression:
Criticizing laws, demanding electoral reform, or organizing peaceful assemblies are recognized globally as free speech and political participation, not crimes against the state.

The Context in Tanzania
Government Actions: Prosecutors have argued that actions or statements intended to completely block, halt, or dismantle a scheduled national election cross the line from protest into trying to intimidate or subvert lawful state authority under Tanzania's Penal Code.

High-Profile Cases:
Prominent opposition figures like CHADEMA leader Tundu Lissu faced high-profile treason trials and hundreds of demonstrators have been detained or charged with treason following aggressive state crackdowns on disputed polls.

Human Rights Concerns:
Global watchdogs and international bodies regularly condemn these legal moves, warning that prosecuting political dissent and election grievances as capital offenses effectively criminalizes basic opposition activity and undermines human rights
Mkuu umevurugwa, hiyo rangi sasa
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Hawatafika huko..

They know exactly kuwa, wanacheza siasa. Hakuna criminality hapo...

Tundu Lissu hatamaliza hata utetezi wake before something happens quickly...

Wale mashahidi wa CATEGORY A wanaotakiwa kufika mahakamani ndilo goli muhimu alilofunga TL na limewachanganya kwelikweli...

Samia akikataa kwenda mahakamani, ni shida...

Akiamua kutoa ushahidi pia ni shida kwa sbb sioni atasema nini kwa makosa aliyokwisha kufanya...

Hana break ya mdomo huyu bibi. Ni lazima atajikwaa tu..

Kwa upande mwingine wanaweza kumkwepesha...

Lakini hao wenzake waliobaki, hawana namna ya kukwepa, watakuja...
 
Atapata msamaha wa Rais,kisha atapoteza sifa ya kugombea.
Historia itafungwa namna hiyo.
Kinachomgharimu Lissu,ni ile kauli yake ya kumchukulia Mungu poa.Alisema kwenye kupigania katiba mnamwachia Mungu,Mungu hatawasaidia!
Asipotubu,Mungu ataufanya moyo wa Farao kuwa mgumu.
Mimi ni mjumbe tu
Mkuu Mungu hasaidii wasiojisaidia wenyewe kwanza.
 
wale ndugu zetu maelfu waliouawa mwaka jana hawakutosha kusababisha hiyo great civil insurgency in the country au hadi tusubiri hukumu uchwara ya kumnyonga Lisu ndio pawe na reaction ?
It seems you are completely out of step with what is in store for this country and I better not awake you from your nap.
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Kutatokea masikitiko tuu lakini kunyongwa hiyo ni ndoto tuu
 
Atapata msamaha wa Rais,kisha atapoteza sifa ya kugombea.
Historia itafungwa namna hiyo.
Kinachomgharimu Lissu,ni ile kauli yake ya kumchukulia Mungu poa.Alisema kwenye kupigania katiba mnamwachia Mungu,Mungu hatawasaidia!
Asipotubu,Mungu ataufanya moyo wa Farao kuwa mgumu.
Mimi ni mjumbe tu
Watu mnakosea sana, ccm sasa hivi haihitaji sijui Tundu Lissu awe mgombea ndio aishinde, ccm sasa hivi inashindwa na mtu yeyote hata mimi ndio niwe mgombea nitashinda kwa kishindo bora iwepo tume huru tu ya uchaguzi.
 
Naona Lissu anapambania watu ambao, hawapo tayari kwa mapambano, wangapi tupo kujitoa kama afanayavyo Lissu ili kurekebisha Taifa ambalo limeshapotea na kudhaurika uso wa dunia
 
Back
Top Bottom