Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Wanacho kosea wapinzani ni kuwapigania watanzania mbu mbu mbu.

Yaani ni sawa na kujidharau kabisa.

Unakuwa chambo kwa maji tu yanayo furaha simba na yanga.

Mimi nampongeza sana Mbowe, katumia common sense, na alikuwa anatumia common sense toka mwanzo

Kamwe usitumie logic mahala nguvu ya hisia haipo utaumia bila kupenda
Wakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.

Kwani watu wamewekwa kuwa pathfinders. Lisu, Nyerere and few elites wamefanya hivyo kwa kusudi la Mungu
 
Kama ni mpango wa Mungu linaweza kutokea lolote.. Maana Mungu anaweza kuwqpiga upofu au kuwafanya mahakimu, na hao waliompatia kesi kuwa na mioyo Migumu kama alivyofanya kwa falao. Ili badaye awatandike vizu kwa mapigo yake.
In God we Trust
Kama alivyowapiga upofu mwaka jana kwenye MO29
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Lisu hanyongwi na kesi anashinda au nolle itakuwa applied.
 
Wakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.

Kwani watu wamewekwa kuwa pathfinders. Lisu, Nyerere and few elites wamefanya hivyo kwa kusudi la Mungu
Sure mkuu, Lissu akitaka wiki ijayo kutoka ni chap mpigie simu Samia, anipe hela ya kutosha nakaa kimya,anatoka, ila jamaa ameamua ku battle,,nadhani na Serikali inashangaza roho ngumu ya Lissu
 
In an unlikely situation that your dream comes true then it will definitely be a turning point for Tanzania and it will be the beginning of a great civil insurgency in the country that will culminate in the fall of the ccm regime.

In simple terms, something close to the civil war will happen.
Sijui sana kingereza ila kwa kua umeandika Neno CCM basi naamini umemaanisha CCM ipo karibu kuanguka.
 
Sasa kama alinusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na mambo yakaendelea kama kawa. Na hakuna tukio kubwa kama hilo kwenye maisha binafsi ya Lisu na historia ya nchi yetu.

Sembuse hiyo kesi kuhukumiwa kunyongwa?

Hakuna kitakachotokea.
Labda Mungu awe anamaslahi yake kwenye maisha ya Lisu. Na anataka kusema nasi katika kesi na maisha yake
Hakufa, tuliza kende, afu political tension ya 2017 na sahivi ni tofauti
 
Uzuri ni kwamba Lisu hata wakati anaitangaza NRNE
Hizi gharama zote alizifahamu, hivyo sio kwake tu, hata kwa wengine tunao mfahamu tunajua, kikombe amekubali kukinywa ikiwa ndio njia
Selikali hawakudhani jamaa angekaza hivi, na hadi sasa harudi nyuma kamwe, sasa serikali iamue akutwe na hatia then ahukumiwe kunyongwa
 
Wakati nyerere anapambania uhuru wa nchi hii, unaamini ni asilimia ngapi ilikuwa inajua umuhimu wa Uhuru.

Kwani watu wamewekwa kuwa pathfinders. Lisu, Nyerere and few elites wamefanya hivyo kwa kusudi la Mungu
We jamaa wa wapi?

Enzi nchibzinajikomboa kulikuwa kuna haja ya kuwa na allies za watu wenyewe kwa wenyewe?

Huo muda wanaoutolea wapi?

Kwanza nani aliyependa kutawaliwa na mabeberu? Licha ya kwamba nchibzilianza kujikomboa na ulikuwa kama utamaduni?

Hata maghufuli pia utasema kusudi la Mungu yuko wapi? Na je nchi imebadilika?

Mkuu acha kulinganisha vitu.. Kusudi la Mungu ndo hata wewe mwenyewe kuto kutoka nje na kwenda kuzipigania nchi wewe mwenyewe
 
Hakufa, tuliza kende, afu political tension ya 2017 na sahivi ni tofauti

Political tension mara nyingi huwa nyakati za uchaguzi mkuu.
Kwa sasa ipo low. Watu wanaendelea na maisha yao. Ni tofauti na mwaka jana. Hapo labda mpaka 2030 huko.

Sasa hivi Dola imejiimarisha, na zilw nyufa haziwezi kuonekana mpaka 2030. Kila kundi linapopigania maslahi yake
 
Lengo la MUNGU Kwa LISSU ni kubwa Sana na lazima litimie, hakuna MTU hapa duniani anaweza kumuuwa LISSU.
Samia amejipa kazi ngumu yenye kuchosha kupambana na LISSU..kama risasi 46 zilishindikana kumwondoa duniani ni kitu gani anaweza kuhofia hapa duniani?
 
Sasa kama alinusurika kuuawa kwa kupigwa risasi na mambo yakaendelea kama kawa. Na hakuna tukio kubwa kama hilo kwenye maisha binafsi ya Lisu na historia ya nchi yetu.

Sembuse hiyo kesi kuhukumiwa kunyongwa?

Hakuna kitakachotokea.
Labda Mungu awe anamaslahi yake kwenye maisha ya Lisu. Na anataka kusema nasi katika kesi na maisha yake

Unaweza ukawa sahihi au usiwe ..
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Huyo wa kumnyonga mwenyewe yuko wapi? Kama alipigwa risasi 32 mchana wa saa saba, huku 16 kati ya hizo risasi 32 zikiingia mwilini mwake! Na bado hakufa!! Ndiyo atokee panya wa kumnyonga! Acha kutania watu mtoa mada.

Wanacholazimisha hawa akili ndogo aka vilaza ni kuona mwamba anaupigia magoti uhuru wake! Jambo ambalo hawezi kulifanya kamwe. Na huku mtaani wananchi tunazidi kumuunga mkono mara dufu ya ilivyokuwa hapo awali. Matokeo yake yataonekana siku zijazo.
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
Atapata msamaha wa Rais,kisha atapoteza sifa ya kugombea.
Historia itafungwa namna hiyo.
Kinachomgharimu Lissu,ni ile kauli yake ya kumchukulia Mungu poa.Alisema kwenye kupigania katiba mnamwachia Mungu,Mungu hatawasaidia!
Asipotubu,Mungu ataufanya moyo wa Farao kuwa mgumu.
Mimi ni mjumbe tu
 
Kwa mdomo wake mwenyewe Lissu alisema Yuko tayari kunyongwa hadi kufa lakini kamwe hatopigia vibaka magoti.

Na mpaka sasa there's no way Lissu atarudi nyuma, ameamua liwalo na liwe Wacha kesi ipigwe hadi mwisho.

Je kutatokea nini siku ya hukumu Lissu anahukumiwa kunyongwa, na kutiwa pingu kwenda gerezani.

Je political atmosphere ya Tanzania itakuwaje?

Je kidiplomasia kiongozi mkubwa kuhukumiwa kunyongwa, hadi kufa itaiweka Tanzania katika ramani gani kimataifa?

Je majaji ambao watatoa iyo hukumu wataishi na kujichanganya normal kwenye jamii?

Je kina Nasoro Katuga na familia zao wataishi normal na jamii?

Je Samia atampa msamaha Lissu chap chap bila kutumikia kifungo ata miaka 2.

Binafsi natamani Lissu ahukumiwe kunyongwa hadi kufa, then nione kama hii nchi itatawalika.

Karibu
kama wangekuwepo watu katili wa kumshughulikia wakina Nasoro Katuga na familia zao wangeshafanya hivyo badala ya kusubiri hukumu uchwara itoke. Tanzania kuna uhaba wa watu wenye moyo wa kutenda matendo yasiyosahaulika.
 
In an unlikely situation that your dream comes true then it will definitely be a turning point for Tanzania and it will be the beginning of a great civil insurgency in the country that will culminate in the fall of the ccm regime.

In simple terms, something close to the civil war will happen.
wale ndugu zetu maelfu waliouawa mwaka jana hawakutosha kusababisha hiyo great civil insurgency in the country au hadi tusubiri hukumu uchwara ya kumnyonga Lisu ndio pawe na reaction ?
 
Back
Top Bottom