Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Wasalaam.
Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa uwanja wa ndege chato na upotevu wa sh 1.5bilion.
Haya yote yamefanywa na mwenyekiti wa ccm raised magufuli kwa kivuli cha kuwaletea maendeleo watanzania.
Napata shida kuelewa haya matumizi ya holela ya kodi za wavuja jasho wa nchi hii bila idhini ya bunge letu ndio maendeleo? Kama nia ni mpaka njema kwann bajeti hiyo haikupelekwa bungeni na kupitishwa? Kwann CAG alizuiwa kufanya ukaguzi na hatimae kustaafishwa?(proffessor Assad)
Maendeleo yana vyama.