kwenye daladala kuna utamu balaa hakunaga stress mara utasikia kondaa umeingiza yotee? Konda nini hiyo? Abilia si mizigo wangu?Tuombe samahani wenye vitz tafadhali, kwani sio gari? Mkigombania daladala mi napita tu na vitz yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiwa na Gari unakuwa sexy. ..
Wee mtu asikudanganye kabsa deep inside anapendaMbona kuna wanaosema ni wasio jielewa ndo wanaopenda?
kuna jamaa kitaaa anagari hata halieleweiki ila anawaburuza km samatta
Rubbish. Gari ndo inaendesha ndoa ? Labda uniambie gari kwa ajil ya kufanyia biashara kama teksi, kubebea mizigo na business za aina hio
Lakin gar ya starehe ama ya kutembelea?
Kama mtu amekupenda kwa ajil una gari huyo hakupendi ni ujinga ...ujinga kabisa...
Fake love ...kama mdada unataka gari nunua ya kwako jivutie wewe mwenyewe na hilo gari likuoe kabisa
sio wa dar tu mkuu hata wa mikoani pia wakiona jamaa ana gari wanaogopa hata kushoboka na ukigusa tu misimu kila muda "oooh Mara baby umekula, sijui uko wapi mume wangu"
hata hatujaoana
hakuna aliye mjanja kama mwanaume ana mafanikio utalegea tu. umkute ana gari v8 kakubeba yaani utashikwa chuchu huku umelegea wala hausemi kituDaby napenda vitu vizuri sana lkn sio kigezo cha mwanaume ana gari nijirahisishe soma mleta mada alivyosema
All i can say... Hakuna asiyependa maisha ya urahisi... Maisha ya starehe.. Gari ni usafiri same time chombo cha starehe... Wapo wanawake wanaopenda sana mwanaume mwenye gari..Don't you have anything to say as thread is concerned my super Dear au niache maneno niweke muziki???
All i can say... Hakuna asiyependa maisha ya urahisi... Maisha ya starehe.. Gari ni usafiri same time chombo cha starehe... Wapo wanawake wanaopenda sana mwanaume mwenye gari..
Ni umaskini ndugu ukiona hivyo idadibya watz wengi ni maskini hasa wanawake. MTU aliyezaliwa na kukulia kwenye nagari hawezi ona gari ni kitu cha ajabu. Umaskini ni kitu kibaya sana tupige vita umaskini
Hahahaahhahahaahahahahaha????Mwanamke mwenye gari nae ni kivutio kwa wakaka, ama wanajikausha!
Mbaya zaidi hawa madem hawajali gar ni la serikali au la ,wao gar ni gar tu......
Hahahaahhahahaahahahahaha????
Safi sana hii comment ila ungeweka kama question ..
Ngoje nitafute aliekujibu
Lol Mwanaume kushobokea gari ya demu aibuuuuHahaaa!, kama hawatajikausha..[emoji28]