Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Gari linapendwa na jinsia zote mbili...Mwanamke akimiliki gari pia anamvutia zaidi mwanaume and vise versa is true....Sema kwa wenzetu waliondelea kama marekani anaevutia zaidi ni yule ambae ana gari kali kama vile Lamborghini na gar zingine za aina hiyo sio gari lolote tu. Ushahidi angalia U tube pranks zinazohusu Gold digger wa kiume na wakike kwenye magari.
 
hahahhah eb niache mm tulishindwa tofautiana kitu kimoja tu ila ungenielewa ungejua nn namaanisha napenda sana vitu vizuri sana lkn ulishindwa nielewa
Dawa yako kukuchanganyia habari.

Leo mmeambiwaje kanisani
 
Dawa yako kukuchanganyia habari.

Leo mmeambiwaje kanisani
hahhahah Daby point yangu ilikua hivi kama nakupenda ww nitakupenda tu vyovyote tu ata kama una gari au hauna

tofautisha na kukutaman sbbu leo una gari mwanzo nilikukataa sbbu ulikua hauna gari hapa nimekutamani ww sbbu una kitu
 
Mi.mwenyewe sina gari na huyu mtoto mzuri najua anytime soon ntaachwa kwenye Mataaa ya Moroco
 
hahhahah Daby point yangu ilikua hivi kama nakupenda ww nitakupenda tu vyovyote tu ata kama una gari au hauna

tofautisha na kukutaman sbbu leo una gari mwanzo nilikukataa sbbu ulikua hauna gari hapa nimekutamani ww sbbu una kitu
Hivi unajua japo una mke lakini utatamani wazuri kumzidi mkeo njiani eeh. Sema busara za uzee zinakuzuaia kumsaliti mkeo.

Umenielewa.
 
Hivi unajua japo una mke lakini utatamani wazuri kumzidi mkeo njiani eeh. Sema busara za uzee zinakuzuaia kumsaliti mkeo.

Umenielewa.
hahaha ww mtu nimekushindwa
 
Kuna chuo flani hapo Town, ukimikiki tu pikipiki wadada wanakuja wenyewe kama nzi,

Sijui wanafurahia zile kelele za pikipiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…