Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Gari ni heshima kiukweli, yaani tangu nimeanza kumiliki gari mwaka jana mwishoni nimejikuta nikiwa katika hadhi tofauti kabisa, wale waliokuwa wananichukulia poa na kunidharau hasa wakina dada wakikutana na mimi wanajichekeshachekesha tu, sema umalaya nimeacha
 
Gari ni heshima kiukweli, yaani tangu nimeanza kumiliki gari mwaka jana mwishoni nimejikuta nikiwa katika hadhi tofauti kabisa, wale waliokuwa wananichukulia poa na kunidharau hasa wakina dada wakakutana na mimi wanajichekeshachekesha tu, sema umalaya nimeacha
Sizani kama umeacha mkuu, ninavyokujua unavyopenda kutawanya miguu ya watoto wa kike!
Mkuu sema labda umepumzika tu kwa sababu ya mfungo.
 
Gari ni heshima kiukweli, yaani tangu nimeanza kumiliki gari mwaka jana mwishoni nimejikuta nikiwa katika hadhi tofauti kabisa, wale waliokuwa wananichukulia poa na kunidharau hasa wakina dada wakikutana na mimi wanajichekeshachekesha tu, sema umalaya nimeacha
Hahaha...
Mkuu gari ni nyoko. Mwenyewe kuna magari ukiwa nayo kwenye foleni unatamani liwe lako sembuse watoto wa kike.

Unakuta mtu yupo ndani ya discovery 5 mpyaaa.
 
Ndiyo hivyo DR.
kila mtu anapenda vizuri bwana.

Huo uzuri unaenda na level tu. Kama hajawaexposed basi atapenda toyo.
Wengi hujirahisi sana hasa ukimiliki mkoko wa maana yaaani uwaweza tawanya miguu mpaka ukaumaliza mji kama huna roho ngumu.
Mambo haya wanayafanya sana vijana mara nyingi hukodi magari wawapate watoto wazuri na wengi huwapata.
 
Sizani kama umeacha mkuu, ninavyokujua unavyopenda kutawanya miguu ya watoto wa kike!
Mkuu sema labda umepumzika tu kwa sababu ya mfungo.
Hahaha, mkuu hii hali ya kushobokewa ingenikuta kwenye ubora wangu ningekuwa nagonga kilasiku demu mpya, sahivi nimetulia baada ya kuoa
 
Maisha bora kwa kila mtanzania... Get rich or die trying...
 
Hahaha...
Mkuu gari ni nyoko. Mwenyewe kuna magari ukiwa nayo kwenye foleni unatamani liwe lako sembuse watoto wa kike.

Unakuta mtu yupo ndani ya discovery 5 mpyaaa.
Mkuu kitaa hawajali unagari gani, hata vitz unawagonga sana tu ukiamua, sema jinsi gari linavyokuwa kali ndio utaweza kushobokewa na watoto wakali zaidi. Mimi gari yangu ni ya hadhi ya kawaida tu but kitaa totoz shobo kibao, nafikiria ningekuwa na range-rover kwa umri wangu huu wa ujana ingekuwaje kama kigari changu cha kawaida tu kinawatoa udenda
 
Mademu wa Dar bana wana maigizo balaa hahahaha acha tuwatafune tu...
sio wa dar tu mkuu hata wa mikoani pia wakiona jamaa ana gari wanaogopa hata kushoboka na ukigusa tu misimu kila muda "oooh Mara baby umekula, sijui uko wapi mume wangu"
hata hatujaoana
 
Mkuu kitaa hawajali unagari gani, hata vitz unawagonga sana tu ukiamua, sema jinsi gari linavyokuwa kali ndio utaweza kushobokewa na watoto wakali zaidi. Mimi gari yangu ni ya hadhi ya kawaida tu but kitaa totoz shobo kibao, nafikiria ningekuwa na range-rover kwa umri wangu huu wa ujana ingekuwaje kama kigari changu cha kawaida tu kinawatoa udenda
fe1bbb2e689c0e9fee834bfceecc2fa1.jpg
 
Back
Top Bottom