Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Ndiyo hivyo DR.Siku hizi wadada wanasema hapendwi mtu inapendwa pesa.
Moja ya muonekano mtu kama anapesa ni kumiliki ndinga/mkoko.
kila mtu anapenda vizuri bwana.
Huo uzuri unaenda na level tu. Kama hajawaexposed basi atapenda toyo.