Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

aiseeee kuna watu hawana bahati kweli kweli....ebu weka kwanza picha yako tukuone ukoje ukoje inaweza kuwa muonekano wako ndio tatizo huna amsha amsha
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Monica umepata shikilia, ukiolewa Dada utapewa ukitakacho.
 
ndio la kuonja onja sana... sasa unashindwa kujizuia.
ungekuwa virgin ungemuelewa nini anamaanisha.

kama unampenda we vumilia tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…