Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Duh nikimpata Huyo sitamuachia sex sio kila kitu katika marriage na wangapi umewapa mzigo na hauko nao sasa HV?Huyo ni kati ya wanaume wachache kwa sasa ambao hawakimbiliii sex kwani nowadays sex is easily available everywhere duh penye miti mingi hapana wajenzi aiseeeeh
 
Dada zetu...Dada zetu..Nilivyosoma nilijua ni mwanaume maana sisi ndo huwa uvumilivu unatushindaga na kuwa vijitamaa tamaa sasa kuja kukuta ni Monica analalamika nimeshangaa..Monica una wahi wapi eti Dushe ndiyo unachohitaji zaidi...Jamani dada mmoja ajitolee kuwa kungwi hapo..
Huu mziki ni mnene..biti zina kasi kuliko uwezo wangu wa kucheza...
 
Yaani kusoma hii thread jecha kipora kasimama ghafla. Sasa namshangaa huyo basha yako, atakuwa sio mzima aisee.
 
Back
Top Bottom