Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Ila siku hizi kucheza mechi kabla ya ndoa ni muhimu,mdada anakuwa na wasiwasi asije kuwa mtoto si riziki,nasisi wanaume pia tunakuwa na wasiwasi pia usije kuchelewesha ukakuta kuna jamaa anajipigia daily.Nakumbuka tulipokuwa shuleni siku moja wakati wa kipindi cha dini Mchungaji alitania kuwa eti ni muhimu kuduu kidogo na mchumba ako eti kuna wengine wanakuwa na kitobo tu cha mkojo sasa ukioa bila kutest huoni kuwa mtashindwa kuduu coz mwenzako anakuwa hana K bali kitobo cha mkojo.