Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Ila siku hizi kucheza mechi kabla ya ndoa ni muhimu,mdada anakuwa na wasiwasi asije kuwa mtoto si riziki,nasisi wanaume pia tunakuwa na wasiwasi pia usije kuchelewesha ukakuta kuna jamaa anajipigia daily.Nakumbuka tulipokuwa shuleni siku moja wakati wa kipindi cha dini Mchungaji alitania kuwa eti ni muhimu kuduu kidogo na mchumba ako eti kuna wengine wanakuwa na kitobo tu cha mkojo sasa ukioa bila kutest huoni kuwa mtashindwa kuduu coz mwenzako anakuwa hana K bali kitobo cha mkojo.
 
ndio la kuonja onja sana... sasa unashindwa kujizuia.
ungekuwa virgin ungemuelewa nini anamaanisha.

kama unampenda we vumilia tu hakuna namna
umeshasema ningekuwa bikra..kwa sasa mimi si bikra.
 
Ngumu sana kwa kipindi hiki. Kama huwezi kuvumilia mlazimishe
 
Hapo dadangu nilikuwa natoa ishauri kwenye post nyingine tofauti kidogo ambayo ilifanana kama ugumba ndio maana nikamwambia aliyepost atoe maelezo yaliyojitisheleza. Hata hivyo kuchepuka hakufai. Be thou faithful unto death!
i ll be faithful if he will be working apart from that he must read the namber
 
Hahahhaaa monicca yule mr right ndiye hataki kula vyake mpaka mkafunge ndoa? Kweli we ni kifaa unaanda film ya jf au?
 
Mimi niliweza na nimefunga ndoa 2012, sio kwamba nilikuwa sijawahi nilisha gegedana sana ila nilipoona wanaume waongo, nikasema atakae nigegeda tena atakuwa mme wangu ikawa hivyo, sasa nilikuta nwanaume ana govi hajatahiriwa , mlokole hadi kufanya tendo la ndoa kwake dhambi, ni mara mojamoja sana . halafu ni kama anamapungufu katika ufahamu wake
Nimemwambia akafanye suna maana govi loh lina harufu hiyo kali hadi machozi yanatoka, na amekataa anasema mbona kuna wachungaji wako hivo, kwahiyo hatoi hiyo nyama mungu atakuuliza uliipekeka wapi
We kweli una roho ngumu! Keep it up. Kwa hiyo inakubidi kubana pua mnapoitumia ndoa eh?
 
Kma Amekuja Na "Single" Ingne Ya Tungoje Mpka Ndoa, Subili Hiyo Single Ichuje Aje Na Mpyaa!!! aahaaa!!! Sikia Siku Mkiwa Farangha, Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Bila Kusubil Ruhusa Yake Hakikisha Unampa Michezo Ya Hatari..Kma Ni Mzima Au Mbovu Itajulikana Acha Kuhisi Hisi Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Haswa....Dushe Lake Likigoma Angalau Hata "Kushtuka" Basi Rud Hapa Uje Pm Kwangu Tuyamalize Ya Kiutu Uzima!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Aisee! Kuna watu humu! Muyamalize kiutu uzima ndiyo kumfanyeje? Unataka kuchukua nafasi ya aliyeshindwa? Na utafanya hivyo kila siku hadi lini? Au ndiyo unataka kukamata fursa kisha upeperuke! Hapo atakuwa karuka maji kukanyaga mkojo!
 
Siku nyingine uzingatie matumizi sahihi ya "R" na "L"

Tumia kiswahili wewe, lugha za watu zitakuvua nguo!
Unawaza ngono muda wote au ndio upo kwenye foolish age!
kwan ulisikia tupo kwenye darasa la lugha?
 
Back
Top Bottom