Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

hii ni mara ya kwanza kusikia kisa cha namna hii,kweli mwanaume ukatae papuchi?? uyo atakua na matatzo jaribu kumchunguza utuletee mrejesho
 
Wasichana wengine hujikuta wakichezewa kwa kutokujua kwao mapenzi ni kitu gani. Mwanamke asiyetambua kipi kingine hunogesha mapenzi ukiondoa ngono ni mwanamke ambaye hastahili kuwekwa ndani. Mapenzi ni Zaidi Yangu Uifikiriayo na Mapenzi ni Zaidi Ya Utamu uusemao. Unaweza ukatoa penzi Ukajikuta ukiachwa na unaweza usitoe ukajikuta Ukipendwa milele. Kuwa muangarifu katika kuchagua na kuwa makini na unachokihitaji. Uchi wa mwanamke unathamani kubwa
 
Yeah!! Mkuu nakubali point yako.. "Hanithi" is the issue right there
mchecheto kwa bahati nzuri sihitaji kila mwanaume..huyu ni kwasababu ninafuture nae ndio maana nataka kujua ulijali wake kabla ya ndoa..vingenevyo singetaka kusex nae.
natamani niwe na mke kama wewe jamani,yaan mwanamke anadai dudu mwenyewe bila kuhongwa ni mtamu sana jmn....kama vp njoo pm
 
Excuse me watch your language .. You got problem with me?? Are you here for Monica or for me ?? This called freedom of the speech , you advice what you see is right according our perceptive .. Watch your mouth boy or whoever the heck you are, kama you got stress , go take it to somewhere else but not to me ... Nonsense.. You didn't see all comments but you saw mine only .. Was I the first one to advice her that way, was I ?? Nonsense.. I beg take your stress somewhere else not here ... Unataka kumshauri kibinadamu as you wanted then do it.. Its better than to come here with your dirty words/ mouth or to want to know other people's status / business.. And if I am not married will you want to marry me?? Before you asked you should think ... Stop asking other people personal things / business if they didnt ask yours .. And do me a favor next time if you quote me, make sure you have your own respect first .. Because the last time I checked I didnt disrespect you.. Nonsense.. Thanks...
calm down mama, hapa ni jf bhana usipoteze ule utu wako na kujiamini kwako.. Rudi pale pale ulipokuwa huku unakokwenda siko
 
Mkuu na kama ukithibitisha kweli jogoo hapandi mtungi utaendelea kuwa nae maana unampenda na hutaki kumcheat? Hembu vuta picha za kumbu kumbu kuwa je hujawahi penda mwingine na sasa imebaki story?
who told you i force him? what i want to prove if he is real man
I do understand.. But wisdom by forcing mchumba to have sex even though he does not want it.? Anyway .. Haya.. Thanks..
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
KUKU WA KWAKO MANATI YA NINI.....?
 
Yana ukweli wowote mkuu
Ametufundisha Padre hili hatukujua, ikitokea ndoa imefungwa na ikajulikana mwanamke au mwanaume ana maumbile yatakayoshindikana kutoa huduma ya tendo la ndoa kabisa basi ndoa husika hubatilishwa maana hawajakutana kimwili kabisa lakini kama walishakutana kimwili ndo kukatokea matatizo hiyo haivunjwi ndo ktk shida na raha kama walivyojishaua kusema.
 
calm down mama, hapa ni jf bhana usipoteze ule utu wako na kujiamini kwako.. Rudi pale pale ulipokuwa huku unakokwenda siko
Dear I am still the same never change but naomba for this message uniache tuu please... Thanks..
 
Mwanamke ni moja ya Kiumbe asiesomeka, kumsoma na kumjua mwanamke inaweza kukuchukua maisha yako yote na bado usimuelewe. uhusiano wa hivyo upo sana japo tulizoea kwa waarab na wahindi wanaishia kuongea tu mpaka siku ya ndoa ndo wanafanya (Na hao pia ni wazamani ial walikuwepo sana tu) kwa sisi wamatumbi ni wachache mno, ila vyovyote utakavyofanya mwambie japo siku moja muende swimming pool mkakoge halafu uangalie kama chakula ipo ya kutosha, hofu yangu unasubiri siku ya ndoa unakutana na kidole gumba ha ha ha ha ha ahah ah aha, chakula kikiwepo cha kutosha hata kama hajui jinsi ya kukulisha mtafundishana lakini kama umetukana na kidole gumba??? mmmh.
 
who told you i force him? what i want to prove if he is real man
To do something kwa MTU bila his/ her permission or willing it is the forcing by being wanted to get things or something my way but not his way.. Hii ndio I meant .. Thanks.
 
Kma Amekuja Na "Single" Ingne Ya Tungoje Mpka Ndoa, Subili Hiyo Single Ichuje Aje Na Mpyaa!!! aahaaa!!! Sikia Siku Mkiwa Farangha, Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Bila Kusubil Ruhusa Yake Hakikisha Unampa Michezo Ya Hatari..Kma Ni Mzima Au Mbovu Itajulikana Acha Kuhisi Hisi Mfanyie Michezo Ya Kimahaba Haswa....Dushe Lake Likigoma Angalau Hata "Kushtuka" Basi Rud Hapa Uje Pm Kwangu Tuyamalize Ya Kiutu Uzima!![emoji12] [emoji12] [emoji12]
hahahahah! haya bhana let me try
 
Nimemwambia akafanye suna maana govi loh lina harufu hiyo kali hadi machozi yanatoka, na amekataa anasema mbona kuna wachungaji wako hivo, kwahiyo hatoi hiyo nyama mungu atakuuliza uliipekeka wapi
Ha ha ha ha ha ha
Noma sana
Lazima uangàlie pemben na kujiskia kama umekabwa na tonge kooni
 
Nakubaliana na mtoa hoja....Nina rafiki yangu nimesoma nae chuo na ni mshikaji...jamaa anawakimbiwa na wadada kwa sababu wakikutana uume hausimami kabisa hata kwa dawa....Hivyo ukikutana na mdada alafu amuahidi kua wasifanye mpaka ndoa hapo itakua sawa kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
To do something kwa MTU bila his/ her permission or willing it is the forcing by being wanted to get things or something my way but not his way.. Hii ndio I meant .. Thanks.
haya but za kuambiwa changanya na zakwako
 
Back
Top Bottom