Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

INAWEZEKANA KABISA
 
Monica wangu nilikuwa nimeamua kukutunzia heshima ila umeamua kuja kulalaMIka huku JF?
 

Ha ha ha, naona umeamua kutema yai kuonesha msisitizo.
 
Dah kweli duniani tupo tofauti 😀
Wengine wanalilia wapewe mchezo yeye hataki
 
Aah pacha, nilikuwa natania tu..

Miss you.
Oooh hapo sawa, kwahiyo wewe hautaki tamuu? Siku hizi watu wanalalamika maana dunia imevaa kaptura pacha, mtu anaogopa kuja kukonda bila kufanya diet wala mazoezi ndani ya ndoa.

Miss you more pacha.
 
Oooh hapo sawa, kwahiyo wewe hautaki tamuu? Siku hizi watu wanalalamika maana dunia imevaa kaptura pacha, mtu anaogopa kuja kukonda bila kufanya diet wala mazoezi ndani ya ndoa.

Miss you more pacha.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] kukonda tena. Ukiona hivyo ujue ndo majaaliwa aliyoandikiwa.
 
Hapa ni mambo mawili tu,kwanza utakuwa umedanganya jinsia lakini kama ndivyo, Utakuwa huna mvuto wa kimapenzi.
 
Kwani ujawai pata dushe?
 
Why not? inawezekana endapo ukimshirikisha mungu katk hilo nazan utafanikiwa ila ukiwa mruga ruga aah wap hutoweza ksho tu utapga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…