ha haShtuka, asije kuwa ni kama ommy dimpoz
SIO KIRAHISI ISHU USITESEKE WAKATI NA MIMI HUKU NATESEKA KUIPATA.....Hahaha, yaani kirahisi hivyo.
Mmh monicca ainaga mara moja hioNa nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Na baada ya ndoa ukikuta Jogoo hapandi mtungi utafanyaje?Mm na mchumba wangu tumepanga kufunga pingu baada ya 2yrs
Tunaaminiana, na hatufanyi hiyo kitu
Ila tumeokoka!!!
Na baada ya ndoa ukikuta Jogoo hapandi mtungi utafanyaje?
wanawake wa darLazima una pepo la uzinzi. Kaombewe
Huyo anakupenda kwa dhati. Hataki akuchezee.
Ukimpa anaweza asikuoe haraka kwa sababu papuchi anaipata, tena kwa kungángánizwa
Aidha, anaogopa usijembambikia mimba isiyo yake kabla ya kufunga ndoa. hamkawii nyie.
Hivi akikugegeda then akakuacha, utakuwa umeonja migegedo mingapi kabla ya kuja kuolewa?
If you are not a virgin, try to have a secondary virginity.
Kama wanaume wa darwanawake wa dar
hahaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaKama wanaume wa dar
Wadau salam,
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, nimejitahidi kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lakini amekomaa na msimamo wake. Hofu yangu ni kwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipokutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingine eti tungoje mpaka ndoa.
Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Ntashake siku husika
Hajakagua na wala sijakagua naingia kwa ushauri wa watu wazima kama nikikuta hovyo sitakuwa la ziada kwake zaid ya kusepaKumbuka kwa maneno yako ulisema ulikuwa humwelewi huyu bwashee na kwamba ulitaka mapicha picha kwanza kabla ya movie mnayoelekea kucheza pale Church tarehe ulotutajia,sasa kwa niaba ya mabazazi wengine tunataka kujua kama huyu mwekezaji keshaukagua mgodi ama laa, na vije ukikuta ni joka la kibisa na umeshaji commit utafanyaje?
Hajakagua na wala sijakagua naingia kwa ushauri wa watu wazima kama nikikuta hovyo sitakuwa la ziada kwake zaid ya kusepa