Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

napata shida sana inawezakana ya kuwa sio ridhiki maana kuna jaribio nililo jitahidi kufanya abstain from sex sikumaliza hata miezi mitatu maana nilijitahidi kuwa busy sana na nafasi ninazo pata kufanya mazoezi kuna siku nyege zilinikamata akili yote ilikufa na kuzikwa halafu nilikuwa job nilifanya vitu vya kijinga sana nilipewa warning letter boss alidhani malaria imepanda kumkichwa mbaya zaid demu sikumpata siku hiyo nilijaribu kufanya mazoezi nilishindwa maana mbele yangu kulikuwa na mama mtu mzima nilidindisha kila nilipo muangalia uzalendo ulinishinda japo nilikuwa namuheshimu nilienda kumuomba huku mpini umesima uzuri alinielewa nyege mbaya sana
 
Bure kabisa!

Baadae ooh kanichezea kaniacha!
Hebu muogope Mungu
 
Mmmh, inawezekana sana. Lakini kwa dunia hii, maradhi haya, "watu wamechoka kabla ya kuoa/kuolewa" ni muhimu kuchungulia uone kama tamu inaridhisha.

I did that sh!t beforehand, I had to...man, you don't need to regret or divorce just 'coz of the cookie's/d!ck's inability to satisfy your spouse, I treasure intercourse as it eases me when I'm stressed with day to day tasks.
 
Na baada ya ndoa ukikuta Jogoo hapandi mtungi utafanyaje?


Kwa Mungu yote yanawezekana, na yote pia yawezekana kwake aaminiye. Mungu ni Mungu wa miujiza, kuna mtu alionyeshwa na Mungu kuwa amuoe binti ambaye alikuwa kilema, alipotii ile sauti tu siku ya harusi yule binti alisimama ule wakati wa kuvalishwa pete. Kwa iyo ilo si tatizo kwa Mungu.
 
Lazima una pepo la uzinzi. Kaombewe
Huyo anakupenda kwa dhati. Hataki akuchezee.
Ukimpa anaweza asikuoe haraka kwa sababu papuchi anaipata, tena kwa kungángánizwa
Aidha, anaogopa usijembambikia mimba isiyo yake kabla ya kufunga ndoa. hamkawii nyie.
Hivi akikugegeda then akakuacha, utakuwa umeonja migegedo mingapi kabla ya kuja kuolewa?
If you are not a virgin, try to have a secondary virginity.
wanawake wa dar
 
Hawa mabinti bana.....hivi huyu jamaa ndo yule ulompata hapa JF na ukasema mpo mbioni kufunga ndoa?
 
Wadau salam,

Naomba kujua kutoka kwenu kuwa inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, nimejitahidi kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lakini amekomaa na msimamo wake. Hofu yangu ni kwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.

Tulipokutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingine eti tungoje mpaka ndoa.

Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.

Mkuu naona umeamua kufunga kabisa ndoa...vipi ulishake well kabla ya kutumia?
 
Ntashake siku husika

Kumbuka kwa maneno yako ulisema ulikuwa humwelewi huyu bwashee na kwamba ulitaka mapicha picha kwanza kabla ya movie mnayoelekea kucheza pale Church tarehe ulotutajia,sasa kwa niaba ya mabazazi wengine tunataka kujua kama huyu mwekezaji keshaukagua mgodi ama laa, na vije ukikuta ni joka la kibisa na umeshaji commit utafanyaje?
 
Kumbuka kwa maneno yako ulisema ulikuwa humwelewi huyu bwashee na kwamba ulitaka mapicha picha kwanza kabla ya movie mnayoelekea kucheza pale Church tarehe ulotutajia,sasa kwa niaba ya mabazazi wengine tunataka kujua kama huyu mwekezaji keshaukagua mgodi ama laa, na vije ukikuta ni joka la kibisa na umeshaji commit utafanyaje?
Hajakagua na wala sijakagua naingia kwa ushauri wa watu wazima kama nikikuta hovyo sitakuwa la ziada kwake zaid ya kusepa
 
Yes inawezekana kama kweli unania nae mfano Mimi Nina mchumba nategemea kumuoa ile sijawahi kujamiana nae ni mwaka sasa
 
Hajakagua na wala sijakagua naingia kwa ushauri wa watu wazima kama nikikuta hovyo sitakuwa la ziada kwake zaid ya kusepa

But mkuu shem do you remember what biblical verses tell us kuhusu ndoa na kuachana? Samahani lakini sikukatishi tamaa unajua kimjini mjini kuolewa Sunnah!
 
Back
Top Bottom