Love is sweet again!Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
Achana naye, njoo kwangu nikupe hizo rahawadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
AMA KWELI DUNIA INAZUNGUKA JAPO HATUWEZI IONA IKIWA INAZUNGUKA!! Kwa mara ya kwanza naona haya maneno kutoka kwa msichana!!wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Duuuhh kazi kweli kweli!!Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Ukionja utang'ang'ania, huwezi kuishia mara moja wewe. Cheza na utamu wa yesu wewe!!!Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Soma hii meseji yake...Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Atakuwa kakeketwa huyo asikupe shida kabisa......Monica kwani ukija kuta hawezi kazi na mko kwenye ndoa...Utafanyaje?
Kwanza sitaki kuhukumu kwamba unatudanganya!!!!!... ila nahisi kuna kitu kinajichanganya hapa...wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Habari zenu wanajamvi,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.
Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati na taratibu za harusi na my Mr. Right ambaye nilimpata kupitia tangazo langu la mwezi Jan.2016,
binasi sikutarajia kama mambo yatakwenda kwa speed kubwa namna hii lakini ndivyo ilivyokuwa.
Taratibu zote zimekamilika na Jana tu ndo mahari yote imelipwa, kweli nina furaha na amani sana kwa hatua niliyofikia, namshukuru mchumba wangu kwa seriousness alionionesha.
Wandugu tarehe ya harusi imepangwa na Jumapili ya tarehe 6 march 2016 tangazo la kwanza la harusi yangu litatangazwa.
Tarehe ya harusi imeshapangwa na vikao vinaanza kesho, naomba tarehe nisiiweke wazi kwanza, nitaiweka wazi siku tatu kabla ya harusi. Asanteni
sana.
Wewe ambaye umetupia tangazo lako amini tu utampata unae mtaka.Usichoke wala kukata tamaa.
Inawezekana kama ni mlokole wa kweli,ila kama ni mtu tu wa kawaida bac atakuw anakuheshimu na anampango kweli wa kukuoa lakin anachepuka. Nimependa kwasababu ww si mnafik wala pretender kama wengine. Pia muombe Mungu kama unahisi hamu inataka kukuzid spidi epuka kuwa na mwanaume maeneo ya faragha zaid kumbuka Bible"ikimbie zinaa.." maana haipingiki, inakimbiwawadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?
Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.
Hivi kuna kautamu chochote atapata kwa kuishika tu bila kuDO?....... Nataka kujua!Basi muombe japo ushike tu hiyo nanihi yake
Ashike kwanza majibu yatapatikana hapo[emoji38]Hivi kuna kautamu chochote atapata kwa kuishika tu bila kuDO?....... Nataka kujua!
I saw it dear that's why I told her to pray and even fasting and if there is hidden things God will reveal to her...the thing is we love short cut way and not God's way.. Mungu anajibu dear ni kummppa chance tuu kwa ku sacrifice by letting our fleshy to die.. Thanks..Soma hii meseji yake...
Always sweet dear.. Thanks..Love is sweet again!
Haahaaa... Daddy sikuweziii....This is Mr. Right then she has to be patient inorder to become Mrs. Right for Mr. Right.. Isn't dear..? Thanks..Kwanza sitaki kuhukumu kwamba unatudanganya!!!!!... ila nahisi kuna kitu kinajichanganya hapa...
Nawashukuru wana JF: Siku ya harusi yangu