Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait
Hata kanisa katoliki lenye sheria kali za ndoa huwa wanavunja ndoa iwapo haiwezekani kwenu kushiriki hilo tendo la ndoa, wasiwasi wako ni nini?
 
Hahaaahaa.. Aisee.. Thanks..
thank you my friend..
Be patient dear mambo mazuri hayataki haraka.... You are lucky kupata kijana ambaye haientertaining those stuffs... Keep pray and God will reveal more to you kama kuna yaliyojificha in secret.. Otherwise inawezekana sana, I am a witness .. .. Thanks..
 
I saw it dear that's why I told her to pray and even fasting and if there is hidden things God will reveal to her...the thing is we love short cut way and not God's way.. Mungu anajibu dear ni kummppa chance tuu kwa ku sacrifice by letting our fleshy to die.. Thanks..
kwakweli ni changamoto!! tena kubwa.. anyway siwezi mlaumu hata kidogo, ndio hali halisi tuliyo nayo!!
 
Dada yangu in hatari sana, na ni kosa na dhambi mbele za Mungu, usijaribu kabsa.
Jitahd kwenda kanisan Mara kwa Mara, ktk maombi, msifu na umwabudu Mungu kisha uwepo Wa Mungu utakufunika na kubadilisha ufahamu wako. Uwe msomaji Wa biblia na kuckiliza nyimbo za kumtukuza Mungu. Kama unampenda Fanya hayo LA sivyo umemkosa. Mungu akutie nguvu in Jesus name
 
Kama ni Mkristo unajua naongea nini.
Mwombe Mungu atakuonyesha
Umeonja na utawaonja wangapi?
Hivi unajisikiaje uko kanisani kila ukiangaza jicho huku unamkuta EX wako?
asante nimekuelewa
 
Unahusi kufanya mapenzi no kitu cha thamani kuliko kisubiri had I kufunga ndoa labda...?
 
Monica asikudanganye mtu kabisaaa.

1. Kama wote walokole au wajahidina (sijui kama wanafanya kabla ya ndoa) na kweli kabisa ndani ya mioyo yenu mumedhamiria useja mpaka ndoa, hapo sawa.

2. Ila jamaa sio mlokole wala ustadh halafu anakuletea hizo, halafu huishi naye, ahhhhh wapi.

Atakuwa anapata pozeo sehemu nyingine.

Zipo story za hivo nyingi tu. Ohh Mimi tusifanye mpaka ndoa! Ila kama Hana Mungu ni utapeli wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom