Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Je, Kuwa na mchumba na msifanye mapenzi mpaka ndoa, inawezekana kwa kizazi cha leo?

Ila ni kama una kapoint moniccca coz kuna mdada aliwahi kuingizwa kingi hivi hivi, jamaa alimpenda akiwa A'level akamsomesha chuo lkn jamaa alimwambia no sex till siku ya ndoa, mdada alifurahi sana kupata mwanaume mwenye msimamo km huyo kwa sababu wengi wao huwa wanaomba mchezo mapemaa.....lakini baada ya ndoa sasa ndio bidada kuja kugundua jamaa jogoo hawiki.
Yeah!! Mkuu nakubali point yako.. "Hanithi" is the issue right there
 
Huyo hayuko sawa..Hizo swaga huwa zinakua kwa wanawake sasa nashangaa anakunyimaje dushelele mtoto mzuri. Ukiwa nae mfanyie vituko mpaka uone mwisho wake.
 
Excuse me watch your language .. You got problem with me?? Are you here for Monica or for me ?? This called freedom of the speech , you advice what you see is right according our perceptive .. Watch your mouth boy or whoever the heck you are, kama you got stress , go take it to somewhere else but not to me ... Nonsense.. You didn't see all comments but you saw mine only .. Was I the first one to advice her that way, was I ?? Nonsense.. I beg take your stress somewhere else not here ... Unataka kumshauri kibinadamu as you wanted then do it.. Its better than to come here with your dirty words/ mouth or to want to know other people's status / business.. And if I am not married will you want to marry me?? Before you asked you should think ... Stop asking other people personal things / business if they didnt ask yours .. And do me a favor next time if you quote me, make sure you have your own respect first .. Because the last time I checked I didnt disrespect you.. Nonsense.. Thanks...
Heh..!!! funny

!!
 
Lengo la kutokusex ni lipi mpaka ndoa?
Maana bikra inakua haipo sasa unachokitunza nini?
 
Mimi niliweza na nimefunga ndoa 2012, sio kwamba nilikuwa sijawahi nilisha gegedana sana ila nilipoona wanaume waongo, nikasema atakae nigegeda tena atakuwa mme wangu ikawa hivyo, sasa nilikuta nwanaume ana govi hajatahiriwa , mlokole hadi kufanya tendo la ndoa kwake dhambi, ni mara mojamoja sana . halafu ni kama anamapungufu katika ufahamu wake
 
Hapo inabidi utumie mbinu za kijeshi. Yaani mualike kwako say kwenye romantic dinner...kisha mvale viwalo vya kumtega, kama mnatumia mvinyo itakuwa vizuri zaidi ambapo ukishapiga glass kadhaa unajifanyisha genye zimepanda unampa ma french kiss na mahaba niue ya hataree katika hizo harakati inabidi umhamisihe ikibidi kushika dushe kama mzima hachomoi...kama hamna response basi ujue kuna walakini angalizo asije kuwa msimamo mkali wa kidini...excuse my language
 
Mimi niliweza na nimefunga ndoa 2012, sio kwamba nilikuwa sijawahi nilisha gegedana sana ila nilipoona wanaume waongo, nikasema atakae nigegeda tena atakuwa mme wangu ikawa hivyo, sasa nilikuta nwanaume ana govi hajatahiriwa , mlokole hadi kufanya tendo la ndoa kwake dhambi, ni mara mojamoja sana . halafu ni kama anamapungufu katika ufahamu wake
Enhe! Ukafanyaje sasa? Au bado unakomaa nae? Umemwambia akafanye sunah kwanza au? Ni kabila gani huyo?
 
Noma kweli ase. Watu wanachezeana uchawi pia
Inawezekana ni moja ya sababu za tatizo lenyewe, sio kosa lao lakini ila wanaume wa namna hii enzi hizo walikuwa hawaoi, mimi nakumbuka kulikuwa na mzee kijijini kwetu hakuwahi kuoa maisha yake yote wala hana rekodi ya kugegeda baadae ndio kuambiwa jogoo lake lilikuwa haliwiki
 
Nimemwambia akafanye suna maana govi loh lina harufu hiyo kali hadi machozi yanatoka, na amekataa anasema mbona kuna wachungaji wako hivo, kwahiyo hatoi hiyo nyama mungu atakuuliza uliipekeka wapi
 
Wanaume tuna vichwa viwili.. tukipewa mchezo, kichwa kidogo ndo hufanya kazi ya kufikir. Sasa hapo inakueje yy anatumia kichwa kikubwa kufikir?
Na ww jifunze kumtega tega dadeki[emoji12]
 
wadau salam!
Naomba kujua kutoka kwenu kuwa jena inawezekana kuwa na mchumba na msisex mpaka ndoa?

Nimeuliza hivyo kwakuwa mchumba wangu simuelewi amegoma kunipata raha mpaka tutakapo funga ndoa, Nimejitahid kumueleza jinsi ambavyo napata shida kwa hisia niwapo nae lkn amekomaa namsimamo wake. Hofu yangu nikwamba nisijeuziwa mbuzi kwenye gunia kumbe mtu si ridhiki.
Tulipo kutana mara ya kwanza mpaka ya tatu alidai tukipima tu hakutakuwa na shida tutapeana raha cha ajabu baada ya kupima tukaonekana wote tupo poa amekuja na single nyingne et tungoje mpaka ndoa.
wadau nisaidieni
mim naishi kwangu namaisha yangu sina dhiki kwakweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lkn dushe lake ananinyima. kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? kwangu mim dushe ndio uhitaji wangu mkubwa.

Shituka WW,Kuna dada angu naye jamaa mmoja smart Sana anamaisha yake poa tena engineer kwenye kiwanda kikubwa hapa town bas mshikaj akawa anamsitiza wasifanye mpaka wafunge ndoa bas yule ssta akanifaata kuniomba ushaur nkamwambia huyo jamaa mcheki vizuri ikibidi mtaiti mazingira ya vishawishi mtachi kunako uprove kama kitu kina smama ama jamaa ana kamba kama cyo kamba ni mkufu hausimiki hausimami...
Yule sister akafanya vile kama Mara tatu jamaa dushe ni kama BAMIA hivyo ccta akafanya kumuacha jamaa mpaka napoongea saiv jamaa hajaoa .
Hivyo fanyia uchunguzi hili pia then utaleta ushuuda hapa jf
 
binafsi mm siwezi kusubiri ...du eti uchumba nwaka nakuangalia tu....subutu....nyeto huku kuna mchumba inahuu.....
 
Wengi wao hujifanya hana papara na mwanamke kumbe paka mvivu kukamata panya hata akikanyagwa zaidi ya hapo cku ananuweka mtoto wa mtu ndani hana la kumfanya japo wengi huishia urafiki tuu na hapo mkuu kama unamuhudumia jua anatafuna zako tuu lakini hana nguvu ya mapigano hivyo anatumia visingizio ili aendelee kula vyako na siku ya siku akiona anakaribia kuumbuka atafuta sababu yoyote hasa ya kukusingizia ili muachane! Take care yourself!!
 
Back
Top Bottom