PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,291
Hata kanisa katoliki lenye sheria kali za ndoa huwa wanavunja ndoa iwapo haiwezekani kwenu kushiriki hilo tendo la ndoa, wasiwasi wako ni nini?Na nikingoja nikakuta hawez kazi? mi nataka mara moja thn tutawait