Uchambuzi wangu baada ya hii mechi
Tukienda kimahesabu kabisa Hawa makolo .......wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache
Takwimu
Namungo 6 .......agosto 2
Simba 3..........agosto 1
Cross multiplication
Swali: je Simba ni underdog kwa namungo ..... Kwenye mechi dhidi ya De Agosto
Weka rank ya CAF ya De agosto na ile ya Yanga tuone!
Leta fact mkuu.....acha ushabiki[emoji23]nikisema ZERO sema point five..0.5 ...0.5...0.5 0.5 utopolo fm
View attachment 2382609
Bila shaka itakuwa namungo[emoji23][emoji23]Vipi kuhusu al hilal? nae kapangiwa vibonde uto? maana hapa sudan mashabiki wa al merreck wanawakejeli al hilal wametoa dro na kibonde! tena wanaenda mbali zaidi kwa kusema tz kuna timu 1 tu inayojulikana na kwamba kama wangekutana na hiyo timu basi wangekua wanajiandaa kumfukuza ibenge! eti jamani sie utomax ni hatujulikan?
Rank za mchongo ....Weka rank ya CAF ya De agosto na ile ya Yanga tuone!
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
Sifa kubwa ya kuwa mwanayanga ni kuwa mjinga.Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Haihitajiki elimu ya chuo kikuu kuzibaini akili zilizochanganyika na haja kubwaBinafsi kwa maono ya kiuchambuzi ...naona MAKOLo wamepiga bomu kaburini ....badala ya mochwari...
Wazee wa kusolve equations wanaelewa [emoji23][emoji23]View attachment 2382603
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haihitajiki elimu ya chuo kikuu kuzibaini akili zilizochanganyika na haja kubwa
naomba tuishie hapo.Sifa kubwa ya kuwa mwanayanga ni kuwa mjinga.
Sasa mechi ya pili haijachezwa then una draw conclusion kwa reference ya Namungo? Typical foolishness. Namungo alishinda hizo goli sita akiwa wapi chamazi. Pili alishinda jumla ya magoli 6 kwa mechi zote mbili au moja, wewe ni mtabiri au ? Unajua matokeo ya mechi ya pili?Uchambuzi wangu baada ya hii mechi;
Tukienda kimahesabu kabisa hawa makolo wamepiga bomu mochwari wanajisifu wameua.[emoji23][emoji23]
Baada ya kuotea kupangwa na timu ndogo kabisa na kufunga japo kwa magoli machache.
Takwimu
Namungo 6 - Agosto 2
Simba 3 - Agosto 1
Cross multiplication
Swali: Je, Simba ni underdog kwa Namungo, kwenye mechi dhidi ya De Agosto?
Halafu wachezaji wao muhimu 9 walikutwa na Covid wakati huo.Swa
Sasa mechi ya pili haijachezwa then una draw conclusion kwa reference ya Namungo? Typical foolishness. Namungo alishinda hizo goli sita akiwa wapi chamazi. Pili alishinda jumla ya magoli 6 kwa mechi zote mbili au moja, wewe ni mtabiri au ? Unajua matokeo ya mechi ya pili?
Simba ameshinda goli tatu akiwa Angola na sio chamazi. Pili mbona Al hilal alifungwa goli nne na Simba akiwa taifa na yanga ameshindwa?
You see how stupid you are.