Je, kwa De Agosto, Simba wamepiga bomu makaburini au mochwari?


Vipi kuhusu Al Hilal ni underdog kwa Simba au?
 
Yani ukimtoa Jakaya na babaake mzungu pori.
 
Ooh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.

Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
 
Binafsi kwa maono ya kiuchambuzi ...naona MAKOLo wamepiga bomu kaburini ....badala ya mochwari...

Wazee wa kusolve equations wanaelewa [emoji23][emoji23]View attachment 2382603
Huko mechi haichezeshwi na Ahmedy Arajiga

Hakuna mazari ya goal corner wala striker wenu kushika afu penati mpewe nyinyi

Mnakibarua kizito sana labda tu kwasbabu uwanjani hauchezi wewe ila wachezaji wanaona shurba wanayoenda kuipata

Round hii Diarra avae gloves tatu tatu kila mkono kuepusha michubuko inayoweza kujitokeza au muwaombe CAF wawape ruhusa wakae wawili golini pamoja na Mshery
 
Wajulikane wapi na kwa kipi?

Timu mara ya mwisho kwenda hatua za makundi CAF CL ilikuwa Peter Banda, Sakho, Isah Mwenda na mimi bado hatujazaliwa

Mwaka 1998 BC

CAF ikujue we kwa lipi?

Ni bahati tu wamejikuta wapo kwenye ligi ambayo Simba inacheza na ndio maana dusko ndogo ndogo za kutajwa tajwa na timu kubwa zinawaangukia
 
De agosto ni level ya Ihefu...

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Al Hilal mlisema kwenu ni underdog na mkaseti na ratiba za kutembelea vituo vya habari kufanya midahalo

Nilimsikia Ally Kamwe "eti Hersi amewekeza pesa nyingi kuzidi Al Hilal"

Ali Kamwe sijui nani alimdanganya kuwa Boss anafurahishwa kwa kuongea maneno ya kipambe?

Eti ooh si tunamaliza mechi hapa hapa afu kule tunaenda kupanda ngamia?

Haya sasa mshatoa sare ya moja moja, sa hapo sijui kimahesabu bado mtaenda kupanda ngamia au ngajero?
 
Ooh Al Hilal ni timu inayojitafuta sisi tupo vizuri na tutampiga kama ngoma, sasa hivi mnatafuta pakuhemea.

Mlivyowapiga wale wawekezaji wa Kalynda Zalan FC, basi mkajiona mataita subirini hapo Sudan mkanuswe kinyeo vizuri
Baada ya mechi Ally Kamwe anafosi kuweka tabasamu la kaucheshi fulani hivi wa kuzugia na unyonge kwa mbali

Anakuambia Hakuna makosa ambayo Yanga walifanya, kweli??

Mayele anakosa magoli kizembe we unasema hakuna makosa, je ni kwmaba unamfichia aibu au ni mambo ambayo yanapaswa kujadiliwa ndani huko na sio kwenye media ili kutuliza pressure za mashabiki?

Azizi Ki ndio kabisa naona anawekwa acheze kwasbabu ya usajili wale ulikuwa bei ghali sana, ila kwa hali nayo iona yule ni miongoni ya wachezaji wataopewa mkono wa kwaheri
 
Kli tujue kama wamepiga bomu mochwari basi Tukamtume Engineer akawaombe friend match iwe pale November 11 stadio hapo sasa ndio tutapata jibu
 
Tatizo lenu wabongo bongolala mpira hamuujui kazi majungu,

1. Baada ya mechi ya simba na kedus georgis mlisemaje?

2. Baada ya mechi ya big bullets na simaba (away) mlisemaje?

3. Baada ya mechi ya alhilal na simba mlisemaje?

4. Na baada ya mechi dhidi ya hawa agosto (away) mnasemaje?

Majibu yenu yote niyaleyalegeorgis waimba kwaya, alhilal vibonge, bullets vibonde, de agosto moertuary lakin interesting fact ni kwamba kabla ya simba day mlisema simba atafungwa, baadae wakawa waimba kwaya, baada ya mech ya awya ya bullets mkaleta swaga za jwaneng, sasa mnaimba pambio la mortuary.

Kwanza jipongezen kwa kuweka rekod ya aggregate ya 9-0 CAFCL mliyoipata dhidi ya wababe Zalan kisha jitutumueni kushinda mbele ya Al hilal mkiwa away ili kuthibitisha uwekezaje wenu wa midomoni badala ya uwanjan

Mwisho kabisa nampongeza aliyemuona phiri kwa mara ya kwanza na kuanzisha harakat za kumsajili maana ukisikia simba ana mechi bas kabla ya mechi kuanza phiri ana goli moja
 
Hehehe kaka unataka wasiende Sudani aisee [emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Ngoja wao waende wakiwa wamekamilika sasa....🤪🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…