Hao mashabiki wanapiga yowe tu mtandaoni, lakini ukija kwa ground woote wako duka la mangi wanamchangia Azam kimya kimya.
Hali ni ngumu kitaa, mtu anapata wapi ujasiri wa kuboycott bidhaa ya kampuni fulani? Wangapi wana substitute kwa hzo bidhaa?
Af pia hata quality znatofautiana. Kwa mfano energy drink ya bakhressa ni nzuri kuliko ya Mo. So ni aibu mtu mzima na akili zako kutumia inferior producy kwa ajili ya mapenz na timu ambayo hata mia hawakupi mwisho wa mwezi.
Last but not least, hata wakimkwepa Azam, inmediate supplier wa product kama za Azam ni Mo ambae yuko Simba. So sasa hv Yanga wanaanza kuwasupport simba?
Yaan hawa wafanyabiashara wanatumia tu divide and rule kuwachanganya mambumbumbu then waje wawale vichwa.
Ujinga bado ni mkubwa sna kwa baadhi ya watu