Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

Upo wapi nije nichukie Hilo godoro la Gsm niwe nalala Kama Afisa wa Juu wa Serikali
 
Mpaka muda huu sijaona club ya Yanga ikilaani kauli hii. Inamaana ni jambo lililoratibiwa toka awali.
Nilipoona tu GSM anatumia Nguvu Kubwa hadi ya Kipesa kuhakikisha kuwa 98% ya Viongozi wa Yanga SC Rais, Makamu na Wajumbe ni kutoka huko huko GSM nilijua kuna tatizo la Kipumbavu litakuja Kutokea tu na limetokea tayari.
 
Pumbav sana Yanga. Af yule bwege mstaafu ndio mratibu wa huo ujuha na ametia baraka kabisa katika hilo? Inashangaza sana
Kama nchi ilimshinda alipokuwa Kinara wake unategemea na huku katika Mpira ( Soka ) ataweza? Hakuna Mtu GENTAMYCINE namdharau sana kama huyo ambaye Wapuuzi wengi wanampenda na Kumsifia.
 
gsm sio yanga hizi ni taasisi 2 tofauti na huyo kiongozi wa matawi pia sio msemaji wa yanga
 
Hao mashabiki wanapiga yowe tu mtandaoni, lakini ukija kwa ground woote wako duka la mangi wanamchangia Azam kimya kimya.

Hali ni ngumu kitaa, mtu anapata wapi ujasiri wa kuboycott bidhaa ya kampuni fulani? Wangapi wana substitute kwa hzo bidhaa?

Af pia hata quality znatofautiana. Kwa mfano energy drink ya bakhressa ni nzuri kuliko ya Mo. So ni aibu mtu mzima na akili zako kutumia inferior producy kwa ajili ya mapenz na timu ambayo hata mia hawakupi mwisho wa mwezi.

Last but not least, hata wakimkwepa Azam, inmediate supplier wa product kama za Azam ni Mo ambae yuko Simba. So sasa hv Yanga wanaanza kuwasupport simba?

Yaan hawa wafanyabiashara wanatumia tu divide and rule kuwachanganya mambumbumbu then waje wawale vichwa.

Ujinga bado ni mkubwa sna kwa baadhi ya watu
 


Let GSM products be for Young sport club fans and Azam products be for Simba and Azam sport clubs fans,

Kwasababu Washabiki wa Simba + washabiki wa Azam ni wengi kuliko washabiki wa Yanga, kwa maneno mengine bado watakuwa wamejiua kibiashara.

"Biashara ni mbinu"
 


NB: kumbuka hizo Energy drinks ni "slow killing poisons".
 
Ndio maana utopolo wakiwa wanacheza, wanapita wahamasishaji kueaimbisha watu GCM, GCM,GCM lengo ni kutaka kuaminisha umma kuwa anapendwa saaaana la na machawa wanaenda kumwambis kuwa brand imekwishakuwa kubwa sana
 
Ushaambiwa kuwa GSM nae anataka aanze kuzalisha GSM Energy drink, GSM Cola, GSM Ukwaju, GSM Embe, GSM Unga, GSM Chapati, GSM Sukari na mataka taka yote unayoyajua kuwa Azam anatengeneza. Inshort wanataka kuwa direct competitors wa Azam products.
Watafeli, ngumu sana kuwalazimisha hata mashabiki wako wanunue bidhaa zako, ngoja waingie sokoni ndio wataisoma namba, kwasababu naamini hata sasa wapo mashabiki wa Simba wanaotumia bidhaa za Azam na huwaamishi kirahisi japo Mo nae anatengeneza.
 
Leo nmemuona GSM na BAKHRESA wakiwa wanakunywa chai pamoja pale GSM MALL.... shida unayo wewe @#gentamicine kwa kuchonganisha marafiki GSM na BAKHRESA....tafuta hela brother, umasikini utakuua na mada zako za kinafiki
 
Mpe redio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…