GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Siku hizi kila ukisikia tu Mauwaji pamoja na Ukatili mbalimbali utasikia tu ni Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha, Iringa, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Singida, Dodoma, Shinyanga, Mwanza, Ruvuma na Kagera tofauti na ilivyozoeleka na Kukaririwa kuwa Mkoa Kinara wa Kutukuka kwa Vitendo hivi ni Mkoa wangu Uliobarikiwa wa Mara ( Musoma )
Je, kwa haya Mauwaji ya Mikoa mingine huu siyo wakati Wenu nyie 'Wakaririji' kutuomba 'Radhi' wana JF kutokea Mara?
Je, kwa haya Mauwaji ya Mikoa mingine huu siyo wakati Wenu nyie 'Wakaririji' kutuomba 'Radhi' wana JF kutokea Mara?