Je, kwa hili Simba na Clotus Chama nani mkubwa?

Waliomsamehe Chama ni Simba wanaoumia Chama kusamehewa ni utopolo .Nini siri gani iliyopo Kati ya Chama na utopolo?
 
Manzi akikutawala....jua hata mzigo hakupi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Yaani yanga fc huwa wanaumia na kila kitu afanyacho simba??ilianza juz kati kapigwa singida akaumia yanga,kwenye mkutano mkuu wa simba bado akaumia yanga,na hili la chama na simba kumaliza utata anaumia yanga..Jamani yanga kwanini mnajipaga mateso yasiyo lazima?
 
Chama ni Mkubwa kuliko Mandunduka yote, hastahili kuchezea MAKOLO FC
 
Hapa mwanaspoti wana maanisha nini?
 
Hapana mkuu....hakuna mtu anachukia mafanikio ya mwingine

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
mkubwa chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…