Acha kukarili, maandamano yapi uliyaona JPM akichukua fomu? Dawa yenu in hiyo basi. Hapana deko hapaJPM kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini? Yeye alipoenda kuchukua fomu ya Urais kwa maandamano hakuvunja hiyo sheria yenu?
Ebwanaee we ni mpuuzi acha mikwara, mbona unapenda shari?Haya mimi ni mpuuzi!! Subiri dawa yako inachemka kabla ya uchaguzi itakuwa imechemka hadi nyuzi 100!
Lazima nikunyooshe si mimi ni mpuuzi dawa iko jikoniEbwanaee we ni mpuuzi acha mikwara, mbona unapenda shari?
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Mihadarati ni hatari sana kwa afya.Huku kwenye ubunge tuache tu yafanyike yanayofanyika. Sidhani kama karatasi imewahi kuamua hatma ya nchi, na sijaona kama nje ya sistimu kama kuna mtu sahihi...tupendane, tupeane hizo ajira kwa nafasi, mjengoni kupi kumewahi kuipinga Eksekativu na mjengo ukashinda?
Vunja mjengo, 360 X 11mil × 5= 47,520,000,000
Hapo kila mwaka tunajenga km 48 za barabara kwa kiwango cha lami kwa upigaji wa enzi za Jei Kei, ni mara mia afadhali kuliko kuwalipa wa mjengoni, achilia mbali 290,000,00 kwa wote kila faivu iazi ya kukaa mjengoni
Unadhani atapandishwaje cheo bila kufanya hayo kwa Sugu?Hivi yule OCS hajajisikia vibaya maana toka Sugu anaingia na watu wake yeye joto lilikuwa juu. Hakuna afande hata mmoja aliemsaidia.
Amechukua fomu anatoka bado amemng'ang'ania na Sugu, Hadi maafande wanzake wanamshangaa tu.
"Tuna rais wa ajabu, haijawahi kutokea" Tundu Lisu.
Tatizo la Sugu aka Joseph Mbilinyi Ni ushamba na utoto....anatafuta kikiKatika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Vipi huu mkakati uliishia wapi mkuu?Acha kukarili, maandamano yapi uliyaona JPM akichukua fomu? Dawa yenu in hiyo basi. Hapana deko hapa