Lazima nikunyooshe si mimi ni mpuuzi dawa iko jikoni
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Tafsri tu. Kuna tofauti ya "maandamano" na "msafara" maandamano yanaratibiwa kisheria lakini msafara hauna Sheria Ni Kama kwenda harusini au kwenye maziko,Hivi ukienda kuchukua form watu wakakufuata unashikwa wewe!! unatakiwa kufanya nini kuwaandikia barua watu wasije au !
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Vipi wewe ndiyo mwakilishi wake?Acha kutisha watu jukwaani, hauna hiyo jeuri wala haki ya kufanya hivyo. Changia hoja inatosha.
Unataka kujisahau kwa kufikiri una uwezo usiokua nao.
Karibu umsaidie! Ananiita mpuuzi mimi!!kijana acha uhuni hautakusaidia
Wewe mwenyewe ndiyo mtoto mshamba huna unachokijua zaidi kujiandia ujinga upate posho hapo kwa cyprian MusibaTatizo la Sugu aka Joseph Mbilinyi Ni ushamba na utoto....anatafuta kiki
Na mpwapwa pia ujinga huu umefanyikaKusindikizwa kuchukua fomu sio kosa. Polisi wanahitajika kutumia hekima hata kidogo tu. Ni Mbeya pekee ndipo imeonekana ni maandamano. Vitendo hivi vinafanya CCM izidi kuchukiwa.
Walikuwepo akina Abacha Bokasa Gadafi Sadam Hussein chiluba Albashiri Mabutu na wenzao leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwishoHuna lolote wewe!
Ndiyo ulichobaki nacho unapiga ramli tu.Walikuwepo akina Abacha Bokasa Gadafi Sadam Hussein chiluba Albashiri Mabutu na wenzao leo hii wapo wapi? Hakuna mabaya yasiyo na mwisho
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Ila sugu kawagalagaza miaka kumi shenzy nyieTatizo Sugu presha juu anamuhofia sana Tulia😆😆😆😆 safari hii jasho litamtoka
Kashaachiwa?Umeaibika asubuhi na mapemaaaa! Wenzio wamemwachia bila charge yoyote kwa vile hana kosa! Umeonesha jinsi gani ulivyozumbukuku!
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.
Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.
Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.
Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.
Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20
Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Kwani sheria za nchi zinazuia!? Kama Rais hakufanya haina maana wengine wasifanye... Ili mradi tu hawavunji sheria za nchi.Acha kukarili, maandamano yapi uliyaona JPM akichukua fomu? Dawa yenu in hiyo basi. Hapana deko hapa