Je, kwa Mazingira ya sasa vitendo vya Kihuni vinavyofanywa na Joseph Mbilinyi (Sugu) vinakubalika?

Je, kwa Mazingira ya sasa vitendo vya Kihuni vinavyofanywa na Joseph Mbilinyi (Sugu) vinakubalika?

Hawa jamaa wanafanya kila namna ili waonekane wanaonewa, kwani mkienda kuchukua fomu wachache ndiyo mtashindwa uchaguzi.
 
Na hiyo miaka 10 inamtosha maana hajafanya chochote ampishe mwanamama Tulia kazi iendelee
Ccm ipo toka uhuru imefanya nini? Kuna majimbo hayajawahi pata mbunge wa upinzani toka yaanzishwe lakini uhakika wa maji safi na salama tu hakuna
 
Kusindikizwa kuchukua fomu sio kosa. Polisi wanahitajika kutumia hekima hata kidogo tu. Ni Mbeya pekee ndipo imeonekana ni maandamano. Vitendo hivi vinafanya CCM izidi kuchukiwa.
Nchi hii imejaa wajinga wengi sana. Kuna ambao wanafikiri heshima katika mahusiano baina ya polisi na raia ni one way traffic! Yule polisi alikosa adabu kwa Sugu, suala lililokuwa mbele ya polisi hata kama ilikuwa uvunjifu wa sheria halikuhitaji hiyo approach, wangeweza kumfikishia wito tu Sugu na angeenda mwenyewe kituoni. Kuanzia awali polisi hawakuwa wamelipa uzito mkubwa jambo hilo na ndio maana hata walipomfikisha kituoni baadaye walimwachia tu. Polisi ni lazima waue namna nzuri ya ku eal na opposition kipindi hiki ambacho wamekuwa kama wamefunguliwa baada ya kufuniwa kwa takribani miaka mitano wasifanye siasa kwa uhuru!
 
Ccm ipo toka uhuru imefanya nini? Kuna majimbo hayajawahi pata mbunge wa upinzani toka yaanzishwe lakini uhakika wa maji safi na salama tu hakuna
Tatizo jimbo likiwa upinzani ni shida zaidi bora lirudi CCM
 
Back
Top Bottom