Je, kwa Mazingira ya sasa vitendo vya Kihuni vinavyofanywa na Joseph Mbilinyi (Sugu) vinakubalika?

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.
Kitendo cha huyu afande wa polisi ni cha kishenzi na hakikubaliki kabisa katiba karne hii ya ustaarabu.Kama tungekuwa na mahakama ambazo hazikuwekwa mfukoni na moja wa wagombea Urais anayetokea CCM, huyu polisi mhuni ni wa kufunguliwa mashtaka ili iwe fundisho kwa washenzi kama yeye.
 
Mkuu Polisi walilenga kupora fomu za Sugu , hili tumeelezwa kutoka ndani kabisa ambako tumepandikiza watu wetu
 
Serekali ya Magufuli imegeuza makosa ya kulazimisha kwa wapinzani kama fursa ya kujipatia kipato, ingependeza zaidi kama wangeanza kuwapeleka TRA moja kwa moja kuliko kutuzuga na makosa ambayo hayapo wakati wanachotaka ni kujipatia kipato.
 
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.

Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.

Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.

Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.

Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.

OCS ndio analeta uhuni.
 
Kitendo cha huyu afande wa polisi ni cha kishenzi na hakikubaliki kabisa katiba karne hii ya ustaarabu.Kama tungekuwa na mahakama ambazo hazikuwekwa mfukoni na moja wa wagombea Urais anayetokea CCM, huyu polisi mhuni ni wa kufunguliwa mashtaka ili iwe fundisho kwa washenzi kama yeye.
Huwezi kubishana na Askari hivyo kama hujavuta bangi
 
Askari yule bwege alilenga kupora fomu za Sugu lakini mazingira hayakuruhusu , sugu ameachiwa bila kuandika chochote , uliona wapi mambo hayo ?
 
JPM kama amejenga madaraja na kufanya mambo mengi mazuri ana hofu ya nini? Yeye alipoenda kuchukua fomu ya Urais kwa maandamano hakuvunja hiyo sheria yenu?
Tuonyeshe alivyoenda kuchukua form na hayo maandamano?
 
Katika Mambo ya Kihuni kuwahi kuyashuhudia ni hili la Leo la Aliyekua Mbunge wa CHADEMA, Joseph Mbilinyi au Sugu. Ana Siasa Chafu sana nawapongeza Polisi wanatumia weledi sana na hatimaye kumdhibiti.

Kuna Miongozo ilishatolewa kwenda NEC kuchukua Form unaenda bila wafuasi wewe unafunga barabara na Kuanza kubishana na Polisi na Kumvunjia heshima Jeshi la Polisi linapitia wakati Mgumu sana.

Hivi kwanini Hamjifunzi kwa Joseph Haule, Prof. Jay mbona yupo upinzani na he is very humble hana siasa za Majitaka/ mitaroni kama zinazofanywa na Sugu pamoja na Kufunzwa jela huyu jamaa hajabadilika kabisa.

Godbles Lema naye alibadilika sana baada ya Kunyea Ndoo sana pale gereza la Kisongo na nakupongeza sana tatizo lipo kwa Sugu, Mdee, Matiko wao fujo mda wote.

Hata wakati Tundu Lissu anachukua Form nilishangaa watu wanaimba tunataka form yetu, tunataka form yetu X 20

Tazama video hapa chini Sugu akipigwa tanganyika Jeki baada ya kufanya vitendo vya ‘kihuni’ vya kubishana na OCS.

Your article is irritating. You praise suppression! The "Kaburu" days are gone and never will they come back.
 
Iliwapa shida gani polisi ambayo iliwalazimu kufanya vurugu? Watu wanafata fomu yao tena wanatembea kulikuwa na shida gani? Tumeshuhudia mara kadhaa polisi wakifanya kazi yao kwa weledi hakuna shida yoyote inayotokea.
Mkuu utaratibu na maelekezo ya NEC ni yaapi?
 
Walitoa Muongozo kuwa wakati wa kwenda kuchukua Fomu hazitakiwi Shamra shamra chadema huwa mnashindwa kwenye procedure tuu
 
Back
Top Bottom