Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako
Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao.
Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba yake.
Kwa muonekano tu wa kawaida, malighafi ikiyotumika kutenngeneza mavazi husika ni chache, na gharama nyingine kama usafiri, ufungashaji, n.k ni chache, je kwa nini gharama ifanane na mavazi yaliyogharamiwa kwa rasilimali kubwa?
Kukuza mtoto wa kiume ni gharama sana kiuchumi.
Watoto wa kike wanapendeza kwa gharama ndogo, yawezekana ndio maana huonekana nadhifu kwa kuwa wana nachaguo mengi ya mavazi kwa bei nafuu, kuanzia hata Tsh. 2,000/-.
Karibu kwa mchango wako.