Hata hayo malonya bei yake ni bajeti ya familia ndg!Watoto wa maskini wanapigwa ronya tu za mtumba , mtoto wa kiume ili apendeze lazima ujipinde sana.
Asante mdau. Ila wenzako tuligunduwa zamani tu!Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako
Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao.
Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba yake.
Kwa muonekano tu wa kawaida, malighafi ikiyotumika kutenngeneza mavazi husika ni chache, na gharama nyingine kama usafiri, ufungashaji, n.k ni chache, je kwa nini gharama ifanane na mavazi yaliyogharamiwa kwa rasilimali kubwa?
Kukuza mtoto wa kiume ni gharama sana kiuchumi.
Watoto wa kike wanapendeza kwa gharama ndogo, yawezekana ndio maana huonekana nadhifu kwa kuwa wana nachaguo mengi ya mavazi kwa bei nafuu, kuanzia hata Tsh. 2,000/-.
Karibu kwa mchango wako.
Sitaki kuamini kama hili ni jibu sahihi kutoka kwa 'the Great Thinker 'Kama unaenda bar unakunywa beer za elfu 30 nakuendelea, unashindwaje kumpendezesha kijana wako kisa nguo yake inauzwa elfu 10 nk.
Usiangalie upande mmoja tu wa mavazi. Mtoto wa like mbali na mavazi kuna gharama zake zingine. Mf ili aonekane ni wa kike, ataosha nywele zake kwa gharama (shampoo, mafuta) na kuzisuka. Kuna viurembo atakavyovitumia kulingana na mtindo wa usukaji. Kuna bangili, hereni na mikufu. Kwa mtoto wa kiume hana hivyo vyote. Hivyo watoto wote wana gharama kwa maeneo tofauti.Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako
Kinsingi, Hhakuna tofauti ya bei kwa mavazi ya mtoto wa kiume (hasa walioanza kutembea) na bei ya mavazi ya baba zao.
Mtoto akivaa jeans, t-shirt na kiatu akapendeza, bajeti yake inamtosha pia baba yake.
Kwa muonekano tu wa kawaida, malighafi ikiyotumika kutenngeneza mavazi husika ni chache, na gharama nyingine kama usafiri, ufungashaji, n.k ni chache, je kwa nini gharama ifanane na mavazi yaliyogharamiwa kwa rasilimali kubwa?
Kukuza mtoto wa kiume ni gharama sana kiuchumi.
Watoto wa kike wanapendeza kwa gharama ndogo, yawezekana ndio maana huonekana nadhifu kwa kuwa wana nachaguo mengi ya mavazi kwa bei nafuu, kuanzia hata Tsh. 2,000/-.
Karibu kwa mchango wako.
duniani kuzaliwa mwanaume ni shida, ukiona umezaa mtoto wakiume tu ujue ndo hivo.Hongereni wale wote mnaotumikia taifa, hasa kupitia familia. Endelea kuwa Nuru kwa familia yako