Mjomba Malume
JF-Expert Member
- Apr 8, 2025
- 927
- 1,368
Hali ya kipato ni ngumu wamejiongeza waweze kuishiUzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Mkuu wewe huoni?Umepimaje Hugo uzinzi kuongezeka?
Hiyo ni sababu moja na je, vipi kuhusu wenye vipato vikubwa na wao kuzini?Hali ya kipato ni ngumu wamejiongeza waweze kuishi
Watch yours tooBetter watch ur back
Lakini hii kasi ya sasa si ya kawaida maana mpaka watoto wadogo wakibalehe na kuvunja ungo tu tayari wanaanza ngono.Sababu ni moja tu population ya watu.
Mbona huulizi kwanini magari yamekuwa mengi siku hizi.
Shule ni nyingi,
Hospital zinaongezeka,
Bar & club zinaongezeka,
Kadri watu wanavyokuwa wengi na idadi ya kila kitu huongezeka.
Uzinzi ulikuwepo enzi na enzi
Nataka watu wasiziniKwa sababu tumeamua iwe hvy, kwan ww unatakaje
Sijazungumzia ngono migo nazungumzia uzinifu.Sasa bila ngono ungepatikana wewe??
Kufa KwanzaNataka watu wasizini
Technology maisha hayana vitisho kama zamani,simu, tamthilia na utandawaziLakini hii kasi ya sasa si ya kawaida maana mpaka watoto wadogo wakibalehe na kuvunja ungo tu tayari wanaanza ngono.
Na pia siku hizi ndoa zinapungua licha ya population kuongezeka kama unavyosema wewe.
Una video yoyote ya wanachuo unipe connectionSijazungumzia ngono migo nazungumzia uzinifu.
Matamanio tuuHiyo ni sababu moja na je, vipi kuhusu wenye vipato vikubwa na wao kuzini?
Hakika mkuu teknolojia na utandawazi umechangia uzinifu kuzidi ingawa sijakuelewa unaposema maisha hayana vitisho kama zamani.Technology maisha hayana vitisho kama zamani,simu, tamthilia na utandawazi