Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Sitaki uninunulie gari weweSasa nimeona fahari,
kusikia unapenda daftari,
ukifaulu nitakununulia gari,
na kukupeleka nje ya sayari,
Pia nitakuzawadia madolari,
Ili wewe ujivinjari.
Haya ☝️ yote pigia mstari 😎.
Umepagawa wewe,Sitaki uninunulie gari wewe
Ni bora nijinunulie mwenyewe
Kisha nikwee mwewe
Niende mamtoni sio msewe
Wala sijapagawaUmepagawa wewe,
Umepatwa na kiwewe,
hiyo ni pombe si wewe,
Naomba uende Kawe,
kwa Mwamposa uombewe,
kabla hujaanza kuokota mawe.
Imeongezwa kama basic needs kwahiyo sio Tena food, clothes and shelter but now pia na sex imekua includedUzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Umenichokiza sasa imefika mara dufu,,Acheni uzinifu
Maana unaleta mabifu
Unatifua tifutifu
Ni uchafu
Sio unadhifu
secretarybird
Jobless_Billionaire
Nadhani kumkichwa hauko sawa,Wala sijapagawa
Na niko na nyingi pawa
Sina stori za vijiwe vya kahawa
Nilichoongea kipo sawasawa
Madogo wa zama hizi naona mnachachawa,Wala sijapagawa
Na niko na nyingi pawa
Sina stori za vijiwe vya kahawa
Nilichoongea kipo sawasawa
Kwa nini unasema nimekuchokozaUmenichokiza sasa imefika mara dufu,,
Ningekusamehe tatizo sio mwezi mtukufu,,
Niliposoma lafudhi nikadhania lufufu,,
Ninadhani huko Dar we ni muuza madafu
Hahaha unachekeshaNadhani kumkichwa hauko sawa,
mbona nilipokuambia, "kama Kawa?"
Ukanijibu kwa kusemaa, "Pascal Wawa",
ndiyo maana Mimi nikaishiawa Pawa,
sasa nafikiria kukupeleka hospitali au ninunue dawa.
Mimi siuzi madawaMadogo wa zama hizi naona mnachachawa,
Hamjui kwamba mimi ni popo mwenye ubawa,
Kiatu chako cha kazini mtumbwi ama ngalawa,,
Unajiita pharmacist kisa unauza madawa,, (ya kulevya)
sasa wewe watu walidanganywa ya kuwa kudinya mrembo mmoja na kuwa na mke mmoja ndio dili. uwongo mtupu watu wamejanjaruka wameshaona it is against nature ya mwanadamu kutulia na mbunye au mboro moja. raha ya dunia ni kugegedan mwanawane. wewe enjoy tunda la utam utam.Uzinifu ni ngono kabla ya ndoa na kutoka nje ya ndoa kwa kufanya ngono na asiyekuwa mume au mke wako.
Je, kwa nini uzinifu uongezeke siku hizi na zipi ni njia za kupunguza uzinifu duniani?
Salmini Iddi Hoza,Kwa nini unasema nimekuchokoza
Mimi kama jua ninachomoza
Uzinifu natokomeza
Maadili kuyaeneza
Ninageuka zakayo na ushuru nakutoza,,,Kwa nini unasema nimekuchokoza
Mimi kama jua ninachomoza
Uzinifu natokomeza
Maadili kuyaeneza
Hapo hakuna ninayemjuaSalmini Iddi Hoza,
Mubarak Hamza,
Juliana Shonza,
Mistika Roza,
je, ni watu wa mwanza?
Anayeoshwa ni mwosha,Hahaha unachekesha
Labda una usingizi labda ulikesha
Hapa haina kukwepesha
Relax acha presha
Lakini mbona mistari inanikimbiaNinageuka zakayo na ushuru nakutoza,,,
Ukoo wenu hakuna hata mwenye water bowser,,
Nakutandika mboko sababu umenichokoza,,
Utabaki wa mwisho mi ntabaki naongoza,,
Dah hatari🤣Anayeoshwa ni mwosha,
auzaye bangi ni pusha,
bangi kali ni ya Arusha,
mchambuzi mzuri ni kashasha,
moto ukizimwa nauwasha.
Mwenye makebo huyatingisha,
Na ashiki zangu kuzipandisha,
Halafu nyeto najipigisha,
na bao Moja kulirusha 😎.
Kwa hapo nadhani wewe ndio tu haupo sawa,,Nadhani kumkichwa hauko sawa,
mbona nilipokuambia, "kama Kawa?"
Ukanijibu kwa kusemaa, "Pascal Wawa",
ndiyo maana Mimi nikaishiawa Pawa,
sasa nafikiria kukupeleka hospitali au ninunue dawa.
Kweli hakuna unayemtambua,Hapo hakuna ninayemjua
Labda Rosa kidogo namtambua
Yeah Rosa kwao ni Mwanza
Na hakuna cha kushangaza